Burudani
26 August 2025, 20:06
Wahitimu darasa la saba watakiwa kuepuka makundi maovu
Kutokana na maendeleo ya sayansi na tekinolojia baadhi ya makundi ya vijana wamekuwa wakitumia maendeleo hayo kwa mlengo chanya na hasi. Na Hobokela Lwinga Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi, Robert Pangani, amewataka wanafunzi wahitimu Darasa…
18 August 2025, 12:57 pm
Wanachama CCM Msimbati watishia kujiondoa uanachama
Wanachama zaidi ya 150 wa CCM Msimbati wamelalamikia kuondolewa kwa jina la Rashidi Linkoni aliyeshinda kura za maoni, wakitishia kurudisha kadi zao, huku viongozi wa wilaya wakisisitiza maamuzi ya kamati ya siasa Na Musa Mtepa Zaidi ya wanachama 150 wa…
15 August 2025, 16:28 pm
Wanahabari watakiwa kuzingatia weledi uchaguzi mkuu
Mafunzo kwa waandishi wa Jamii FM Redio yamewahimiza kuzingatia weledi, usalama kazini na kujikinga na uhalifu mtandaoni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 Na Musa Mtepa Waandishi wa habari wametakiwa kuwa makini na kuzingatia weledi wa taaluma yao, hususan…
6 August 2025, 18:54 pm
Mtamba aibuka kidedea kura za maoni CUF Mtwara Vijijini
Mh. Shamsia Mtamba ashinda kura za maoni CUF Mtwara Vijijini kwa kura 334 kati ya 374, akimuacha Abdull Mahupa nyuma kwa kura 39 Na Musa Mtepa Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini, Mh. Shamsia Azizi Mtamba, ameibuka mshindi katika…
18 July 2025, 11:08 am
“Zingatieni sheria na kanuni za uchaguzi”Sesilia Sepanjo
Wasimamizi wa uchaguzi Lindi na Mtwara wamehimizwa kuzingatia Katiba, sheria na kanuni kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Mafunzo ya siku tatu yamehitimishwa Mtwara, yakilenga kuwajengea uwezo. Washiriki wameahidi kuwa mabalozi wa elimu hiyo kwa wenzao Na Musa Mtepa Wasimamizi na waratibu…
16 July 2025, 11:26 am
INEC yawataka maafisa kuzingatia sheria, maadili
“Maafisa wa uchaguzi wametakiwa kufuata misingi ya kikatiba na kisheria ili kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki,” amesema Balozi Mapuri, katika mafunzo yaliyofanyika Mtwara yakiongozwa na INEC Julai 15, 2025 NA Musa Mtepa Maafisa wa usimamizi wa uchaguzi wametakiwa kufuata…
10 July 2025, 8:29 pm
Shilabela waanzisha ujenzi wa ofisi ya mtaa
Zaidi ya miaka 25 serikali ya mtaa wa Shilabela Manispaa ya Geita imekuwa ikiishi katka ofisi za kupanga katika majumba ya watu. Na Kale Chongela: Wakazi wa mtaa wa Shilabela Manispaa ya Geita wameamua kuanzisha ujenzi wa ofisi ya kudumu…
July 4, 2025, 5:51 pm
Zaidi ya wanachama 100 CCM Shinyanga wachukua fomu kwa nafasi mbalimbali
”Mgombea yeyote aliyechukua na kurejesha fomu endapo ataendelea kufanya mambo nje ya utaratibu kwa kukushanya watu hususan wale wajumbe watakaoshiriki kura za maoni atakuwa amekiuka kanuni” Mlolwa Na Sebastian Mnakaya Zaidi ya wanachama 100 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani…
30 June 2025, 16:33
Wahitimu vyuo wametakiwa kutumia kalamu zao kupunguza wimbi la watoto wasio na m…
Wakati jamii ikiwaamini watu wenye elimu ,jamii hiyo hiyo inawataka wenye elimu kuonyesha umuhimu wa elimu waliyoipata. Na Rukia Chasanika Wanafunzi wanaohitimu katika vyuo vya maendeleo ya jamii mkoani Mbeya wameshauriwa kuandika maandiko ya miradi mbalimbali ambayo itasaidia kupunguza wimbi…
11 June 2025, 3:38 pm
Wazazi/walezi msiwaite watoto majina ya wanyama
Mkuu wa dawati la jinsia na watoto Katavi Judith Mbukwa. Picha na Anna Mhina “Jinsi mtoto anavyotukanwa ndivyo atakavyokuwa” Na Roda Elias Kutokana na uwepo wa baadhi ya wazazi na walezi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi kutumia lugha ya…