Radio Tadio

Burudani

5 September 2026, 1:16 pm

TANROADS yafanya maboresho ya alama za barabarani Geita

Uwepo wa alama zinazoonekana vizuri ni muhimu katika kuwasaidia madereva na watembea kwa miguu kuchukua tahadhari na hivyo kupunguza uwezekano wa ajali za barabarani. Na Kale Chongela: Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Geita imefanya maboresho ya alama za…

1 September 2026, 1:40 pm

Madiwani Geita DC wacharuka ubovu wa barabara

Madiwani wameendelea kusisitiza kuwa hatua za haraka zinahitajika hususan kabla na wakati wa msimu wa mvua ili kuzuia barabara kukatika, kuathiri usafiri wa wananchi na kusababisha usumbufu katika shughuli za kijamii na kiuchumi. Na Mrisho Sadick: Madiwani wa Halmashauri ya…

29 August 2026, 3:18 pm

Mbunge aomba serikali kukalimisha ujenzi wa zahanati

Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe, ameendelea kufuatilia kwa karibu upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi wake, akiiomba Serikali kuunga mkono juhudi za wananchi waliokwisha anza ujenzi wa zahanati kwa michango yao, na kwamba kukamilika kwa zahanati…

26 August 2026, 11:00 am

Daraja la Buziba Ilangasika lakamilika

Daraja hilo lina midomo tisa (9) na lina urefu wa mita 40 kukamilika kwake kumekuwa na manufaa makubwa kwa wananchi wa maeneo hayo. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa Kata ya Lwamgasa wilayani Geita wameipongeza Serikali kwa kukamilisha ujenzi wa Daraja…

10 August 2026, 12:02 pm

Ubovu wa taa za barabarani wawaibua wajumbe Geita

Taa hizo zipo katika barabara zinazosimamiwa na wakala wa barabara Tanzania TANROADS na wakala wa barabara mjini na vijijini TARURA Na Mrisho Sadick: Wajumbe wa Kikao cha 17 cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Geita wameiomba Wakala wa Barabara Tanzania…

24 June 2026, 09:49

TFS Mufindi yawanoa vijana kukabiliana na moto

Mafunzo hayo yatasaidia kupata vikosi maalumu vya kuzuia, kudhibiti na kuzima moto katika maeneo ya shamba na maeneo yanayolizunguka. Na Hafidh Ally Zaidi ya vijana 200 kutoka vijiji 61 vinavyozunguka Shamba la Miti la Taifa la Sao Hill, Wilaya ya…

24 May 2026, 11:45 pm

TADIO, TADB kushirikiana kuwafikia wakulima

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) iliazishwa mwaka 2012 kwa kazi maalum ya kuleta maendeleo katika sekta ya kilimo nchini Tanzania. Na. Abdunuru Shafii Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) inaendesha semina kwa wamiliki na wahariri wa redio…

April 28, 2026, 6:35 pm

Wananchi Buhigwe watengeneza barabara kwa majembe

Juhudi za wananchi kujitolea kutengeneza Barabara hiyo zinaonesha namna walivyo tayari kushirikiana katika kuleta maendeleo ya eneo lao, huku wakiiomba serikali kuunga mkono jitihada hizo. Na Michael Mpunije- Buhigwe, Kigoma Wakazi wa kitongoji cha Janda Juu kata ya Janda wilayani…

24 April 2026, 4:25 pm

Tsh. Mil 15 kukarabati barabara korofi Kalangalala

“Naamini ukarabati wa barabara hizo utaondoa usumbufu kwa wananchi wa kata ya Kalangalala na kuwasaidia kufanya shughuli za kiuchumi” – Diwani Reuben Sagayika Na: Ester Mabula Kata ya Kalangalala imeingia mkataba wenye thamani ya shilingi milioni 15 na kampuni ya…