Radio Tadio

Biashara

24 January 2024, 11:55 pm

Wafanyabiashara wa Mchele Bahi walia kukosa soko la uhakika

Mamlaka zinazohusika na suala hili zinatakiwa kuharakkisha upatikanaji wa huduma ya soko ili wakulima wa mpunga waweze kuuza mchele badala ya kuuza mpunga ambao wanaeleza kuwa faida yake ni ndogo. Na Bernad  Magawa. kukosekana kwa soko la uhakika la mchele…

22 January 2024, 09:49

Halmashauri ya wilaya Kasulu yakusanya zaidi ya bilioni 19

Madiwani wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kusimamia na kuibua vyanzo vya mapato ili kusaidia kuongeza mapato ya halmashauri hiyo. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Halmashauri ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma imekusanya zaidi ya shillingi billion 19 ambayo ni…

22 January 2024, 09:20

TRA Kasulu yashindwa kufikia malengo

Mamlaka ya mapato Tanzania TRA wilaya ya Kasulu mkoani kigoma imeshindwa kufikia lengo la ukusanyaji mapato katika kipindi cha mwezi julai hadi Desemba 2023 ikiwa ni   nusu ya bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024. Na, Hagai Ruyagila Akitoa taarifa katika…

4 January 2024, 4:42 pm

Bei ya sare na vifaa vya shule yapaa

katika soko la machinga complex bidhaa zinazoonekana kushamiri ni pamoja na sare za shule kama mashati, sweta za shule madaftari pamoja na viatu vya shule. Na Thadei Tesha.Wakati wanafunzi wakijiandaa kufungua shule kwa ajili ya kuanza masomo yao kwa mwezi…

14 December 2023, 16:19

Wafanyabiashara soko la Gungu walia na ukosefu wa miundombinu bora

Serikali imeombwa kukarabati miundombinu ya barabara na mitaro inayopita katika soko la Gungu Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma. Na Orida Sayon. Wafanyabiashara wa soko la Gungu lililoko kata ya gungu maniapaa ya kigoma ujiji wameitaka serikali kuboresha miundombinu ya…

8 December 2023, 11:09 am

Makala: Bei ya mahindi katika soko la Terrat

Wachuuzi wa mahindi katika soko la Terrat Wakaazi wa kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro wamelalamikia hali ya mfumuko wa bei ya mahindi ulivyongezeka kwa zaidi ya asilimia 100 kutoka shilingi elfu 7,000 hadi shilingi elfu 15,000. Na Isack Dickson.…

7 December 2023, 2:11 pm

Mfumko bei ya mahindi waitesa Simanjiro

Mfumko wa bei kwa mazao ya nafaka hasa mahindi umeendelea kuwa changamoto kwa jamii ya wafugaji wilayani Simanjiro mkoani Manyara kutoka shilingi 7,000 hadi shilingi 15,000 hali inayosababisha baadhi ya familia kushindwa kumudu gharama za kununua mahindi kwa matumizi ya…

29 November 2023, 17:56

Wakulima 200 Mbeya wapewa mafunzo ya mboga na matunda

Na Samwel Mpogole Zaidi ya wafanyabiashara na wakulima 200 wa mboga na matunda katika mikoa ya Songwe na Mbeya wamefuzu mafunzo ya ulasama wa chakula ambapo yamelenga kuongeza mnyororo wa thamani kupitia shughuli za uzalishaji . Mafunzo hayo yametolewa na…