Radio Tadio

Ajira

6 January 2023, 8:57 am

Ujuzi wa mama yake wamtoa kimaisha.

Na Zubeda Handrish: Kijana Benjamin Samweli mzaliwa wa Mwanza mkazi wa Geita amezungumzia namna ambavyo mama yake mzazi amesaidia kwa kiasi kikubwa yeye kuingia kwenye biashara ya kutengeneza Culture. Kuanza kwa kumsaidia mama yeke kutengeneza hadi kufungua ofisi yake binafsi…

11 November 2022, 05:10

Serikali mbioni kumwaga ajira kada mbalimbali

Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Deo Ndejembi amesema Serikali nchini, imetenga nafasi 30,000 za ajira kwa kada mbalimbali katika mwaka wa 2022/23. Ndejembi ametoa kauli hiyo hii leo Bungeni jijini Dodoma na kuongeza kuwa…

31 October 2022, 17:34

Uvccm Iringa Vijijini: Iringa Sio Soko La Wafanyakazi Wa Ndani

MWENYEKITI wa jumuiya ya vijana wa chama cha mapinduzi wilaya ya Iringa vijijini (UVCCM) Elia kidavile amewataka wanafunzi wanaohitimu darasa na saba kukataa kwenda kufanya kazi za ndani pindi wanapohitimu elimu ya msingi. Akizungumza kwenye mahafali ya darasa la saba…

20 October 2022, 11:40 am

Maoni ya Machinga juu ya Fedha za Ujenzi wa Ofisi kila Mkoa

MPANDA Wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama machinga Mkoani Katavi wamekuwa na maoni tofauti tofauti baada ya Serikali kutenga kiasi cha shilingi milion 10 za ujenzi wa ofisi za machinga kila Mkoa. Wakizungumza na Mpanda radio fm wafanyabiashara hao wamesema ujenzi…