Radio Tadio

Ajali

31 December 2023, 10:07

Watu kadhaa wahofiwa kufariki ajalini Mbeya

Na Kelvin Lameck Watu kadhaa wanahofiwa kufariki katika ajali iliyotokea mapema leo katika eneo la Mbembela kata ya Nzovwe jijini Mbeya. Ajali hiyo imehusisha magari matatu ikiwemo roli pamoja hiace mbili ambazo zilikuwa na abiria zikifanya safari zake Sokomatola Mbalizi.…

27 December 2023, 12:51 pm

Wawili wajeruhiwa na mamba siku ya Chrismas Bunda

Watu wawili wamenusurika kifo baada ya kushambuliwa na mamba siku ya tarehe 25 wakati wakiendele na shughuli zao katika ufukwe wa ziwa Victoria. Na Adelinus Banenwa Watu wawili wamenusurika kifo baada ya kushambuliwa na mamba siku ya tarehe 25 wakati…

14 December 2023, 16:54

Madereva wafikishwa mahakamani na kufutiwa leseni Kigoma

Madereva wa vyombo vya moto Mkoani Kigoma wametakiwa kuzingatia sheria za usalama barabarani hasa kipindi hiki cha mwisho wa Mwaka ili kuzuia ajali ambazo zinaweza kujitokeza. Na Josephine Kiravu Akizungumza na wanahabari hivi Karibuni Kamanda wa polisi Mkoa wa Kigoma,…

4 December 2023, 12:08

Kayombo: Nilipanda mtini nyuki wakanishambulia

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jila la Rudigel Kayombo mkazi wa Makwale wilayani Kyela amevinjika uti wa mgongo baada ya kuanguka kutoka juu ya mti. Na Masoud Maulid Rudigel Lucas Kayombo mwenye umri wa miaka 61 mkazi wa kijiji cha Ibale…

14 November 2023, 20:04

Radi yaua mtu mmoja na Ng`ombe 27 Sumbawanga Rukwa

na Mwandishi wetu Kufuatia Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha Maafa Wananchi wilayani sumbawanga Mkoani Rukwa wametakiwa kuchukua tahadhari za kiusalama ikiwa ni pamoja na kusimamisha Shughuli za Kilimo Pindi Mvua zinaponyesha. Hayo yamejiri Mara baada ya Mvua kubwa iliyoambatana…