Ajali
25 May 2022, 11:00 am
BASI LA RUKSA CLASS LAUA WATU WATATU NA KUJERUHI WANNE KAHAMA
Watu watatu wamefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa katika ajali ya Basi la Abiria kampuni ya RUKSA CLASS baada ya kupinduka katika Kijiji cha Kayenze halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Kamanda wa jeshi…
26 April 2022, 7:24 pm
apoteza maisha akitajwa kufukiwa na kifusi kwenye machimbo ya kokoto :Bunda
Machimbo ya kokoto Manyamanyama Mwanamume mmoja aliyetambulika kwa jina la James Mathias 40 mkazi wa Manyamanyama Halmashauri ya Mji wa Bunda amepoteza Maisha akitajwa kufukiwa na kifusi wakati akichimba kokoto kwenye machimbo ya kokoto Manyamanyama. Wakizungumza na Mazingira Fm mashuhuda…
22 April 2021, 15:46
Rais Samia akusudia kukutana na viongozi wa kisiasa
Na; Mariam Kasawa. Rais Samia ameliambia Bunge kuwa anapanga kukutana na viongozi wa kisiasa ili kwa pamoja waweke msimamo wa kuendesha shughuli za kisiasa. Rais Samia amesema hayo wakati akitaja namna anavyopanga kuboresha mazingira ya uhuru na demokrasia nchini Tanzania.…
22 April 2021, 08:39
Watanzania wanatarajia nini kwenye hotuba ya Rais Samia ?
Na; Mariam Kasawa Rais Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuhutubia Bunge katika hotuba itakayotoa mwelekeo wa nini hasa amepanga kutimiza katika muhula wake wa kwanza madarakani. Hii itakuwa ni mara yake ya kwanza kufanya hivyo tangu aapishwe kuwa Rais Machi…