Radio Tadio

Afya

17 January 2024, 8:50 am

Mambo ya kuzingatia kuepuka kipindupindu

Jamii imekumbushwa kuendelea kunawa na maji tiririka pindi wanapotoka maliwato ili kujilinda na kujikinga na maradhi hayo. Na Yussuph Hassan.Ikiwa tunaendelea kuelimisha Jamii kuhusu Ugonjwa wa Kipindupindu, Jamii imesisitizwa kuhakikisha wanajenga na kutumia Vyoo bora ili kupekuna na ugonjwa wa…

15 January 2024, 8:28 pm

Jiji la Dodoma laendeleza jitihada za kupambana na udumavu

Tafiti hizi zinafanyika kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu sura 351 ambayo inaipa mamlaka ya Kisheria ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kufanya tafiti mbalimbali za Kitakwimu. Na Alfred Bulahya.Imeelezwa kuwa mkoa wa Dodoma bado unakabiliwa na tatizo la udumavu…

11 January 2024, 7:58 pm

Nini hupelekea mwanamke kujifungua watoto pacha.

Daktari Halima pamoja na wataalamu wengine wa afya wanawashauri akina mama kuwa na utaratibu wa kuhudhuria kliniki ili kuweza kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo suala hili. Na Thadei Tesha.Kufuatia hivi karibuni Mwanamke mmoja kujifungua watoto mapacha wanne katika hospitali ya Mkoa…

11 January 2024, 1:10 pm

Bunda wapewa tahadhari ugonjwa wa Kipindupindu

Katibu tawala wilaya ya Bunda Salumu Mtelela amewata wananchi wilayani Bunda kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa kipindupindu baada ya kuripotiwa mikoa jirani. Na Adelinus Banenwa Katibu tawala wilaya ya Bunda Salumu Mtelela amewata wananchi wilayani Bunda kuchukua tahadhari ya ugonjwa…

10 January 2024, 19:28

Mpango wa msindikizaji unavyopunguza vifo vya mama na mtoto

Wananchi wa halmashauri ya mji Kasulu mkoani Kigoma, wamesifu huduma ya msindikizaji mama mjamzito katika vituo vya afya kuwa imesaidia kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto vinavyotokea wakati wa kujifungua. Wakizungumza katika kituo cha afya Kiganamo kilichoko halmashauri ya…