Radio Tadio

Afya

21 Oktoba 2022, 11:10 mu

Wananchi Waaswa Juu ya Tahadhari ya Magonjwa ya Mlipuko

MPANDA Wananchi  Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi Wametakiwa kuchukua tahadhari juu ya magonjwa ya milipuko ikiwamo kuhara kwa kunawa mikono na maji tiririka na sabuni sambamba na kutibu maji ya kunywa. Afisa afya Manispaa ya Mpanda Erick Kisaka ameitaka jamii…

20 Oktoba 2022, 11:43 mu

MRINDOKO: ‘Zoezi la Kuhamia Hospital Mpya Lisiathiri Utoaji Huduma’

MPANDA Mkuu wa mkoa wa Katavi  Mwanamvua Mrindoko amemtaka mganga mfawidhi kuhakikisha zoezi la kuhamia hospital mpya ya mkoa kutoathiri utoaji huduma katika hospitali teule ya rufaa. Mrindoko amesema  wahakikishe wanatengeneza miundombinu ambayo yatapelekea wagonjwa kuendelea kutibiwa hospital teule ya…

14 Oktoba 2022, 5:25 mu

Wazazi Wapongeza Matibabu ya Mguu Fundo

Wazazi ambao wana watoto wenye ugonjwa wa Mguu kifundo Manispaa ya Mpanda  Mkoani  Katavi wamepongeza  uwepo  wa matibabu ya mguu kifundo   katika hospitali ya rufaa Mkoani hapa. Wakizungumza na Mpanda radio fm wazazi wamesema  wengi waligundua ugonjwa  walipozaliwa na kufanya…

13 Oktoba 2022, 5:43 mu

EBOLA: Tuchukue Tahadhari Sahihi

Wataalamu wa Afya wametakiwa kujua ugonjwa wa Ebola na kuwaelimisha wengine ili kujua jinsi ya kujikinga pamoja na kuchukua tahadhari sahihi namna ya kukabiliana na ugonjwa huo. Hayo ameyasema Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Urio Kusirye wakati akifungua…

12/10/2022, 11:30

CVT kutoa vipimo bure siku ya uono Duniani

Na; Alfred Bulahya Kuelekea siku ya Uono Duniani octoba 13, Clinic ya Macho ya CVT iliyopo Jijini Dodoma imepanga kutoa huduma za upimaji wa macho bure katika siku hiyo na kutoa huduma ya upasuaji na miwani kwa gharama nafuu ili…

5 Oktoba 2022, 5:19 mu

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewatoa hofu Watanzania kuhusu Ugonjwa wa Ebola uliopo nchi jirani na kuwataka waendelee kuchukua tahadhari za kujikinga dhidi ya ugonjwa huo. Waziri Ummy ameyasema hayo wakati wa ziara ya kukagua utayari wa kukabiliana na…

4 Oktoba 2022, 5:32 mu

Wananchi Watema Cheche Kuhusu Vipodozi Vyenye Kemikali

MPANDA Baadhi ya Wananchi wa manispaa ya  mpanda mkoani katavi wametoa maoni yao kuhusiana na madhara yanayosababishwa na matumizi ya vipodozi vyenye kemikali. Wakizungumza na mpanda radio fm wananchi hao wamesema kuwa kuna  madhara kwa mtu anayejichubua anaharibu ngozi yake…