Afya
20 Oktoba 2022, 5:24 mu
Tanesco Wapewa Wiki Tatu Kufikisha Umeme Hospital Mpya ya Mkoa
MPANDA Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka Shirika la umeme mkoa wa Katavi ndani ya wiki tatu kuhakikisha umeme unafika katika hospitali mpya ya mkoa wa Katavi Akitoa maagizo wakati akijibu taarifa ya mganga mfawidhi wa hospitali teule…
14 Oktoba 2022, 5:25 mu
Wazazi Wapongeza Matibabu ya Mguu Fundo
Wazazi ambao wana watoto wenye ugonjwa wa Mguu kifundo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamepongeza uwepo wa matibabu ya mguu kifundo katika hospitali ya rufaa Mkoani hapa. Wakizungumza na Mpanda radio fm wazazi wamesema wengi waligundua ugonjwa walipozaliwa na kufanya…
13 Oktoba 2022, 05:43
EBOLA: Tuchukue Tahadhari Sahihi
Wataalamu wa Afya wametakiwa kujua ugonjwa wa Ebola na kuwaelimisha wengine ili kujua jinsi ya kujikinga pamoja na kuchukua tahadhari sahihi namna ya kukabiliana na ugonjwa huo. Hayo ameyasema Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Urio Kusirye wakati akifungua…
12 Oktoba 2022, 11:30
CVT kutoa vipimo bure siku ya uono Duniani
Na; Alfred Bulahya Kuelekea siku ya Uono Duniani octoba 13, Clinic ya Macho ya CVT iliyopo Jijini Dodoma imepanga kutoa huduma za upimaji wa macho bure katika siku hiyo na kutoa huduma ya upasuaji na miwani kwa gharama nafuu ili…
11 Oktoba 2022, 11:07 mu
Vijana Mkoani Katavi Wahitaji Elimu Zaidi juu ya Afya ya Akili
KATAVI Katika Kuadhimisha Kongamano la Kwanza la Kitaifa la Afya ya Akili, baadhi ya vijana Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameonyesha kutokua na uelewa juu ya tatizo la Afya ya Akili . Wameyasema ayo wakati wakizungumza na Kituo hiki huku…
4 Oktoba 2022, 5:32 mu
Wananchi Watema Cheche Kuhusu Vipodozi Vyenye Kemikali
MPANDA Baadhi ya Wananchi wa manispaa ya mpanda mkoani katavi wametoa maoni yao kuhusiana na madhara yanayosababishwa na matumizi ya vipodozi vyenye kemikali. Wakizungumza na mpanda radio fm wananchi hao wamesema kuwa kuna madhara kwa mtu anayejichubua anaharibu ngozi yake…
26 Septemba 2022, 11:47 mu
MKAKATI WA KUTAMBUA MAMA WAJAWAZITO WOTE KUPITIA DATARI MAALUMU WALE…
Mkakati wa kutambua wajawazito Wilayani Maswa umeleta mabadiliko makubwa ikiligaishwa na hapo awali ambapo wajawazito walikuwa hawatambuliki hali iliyokuwa inapelekea baadhi yao kujifungua majumbani na kuhatarisha Maisha yao.… Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mh Aswege Kaminyoge wakati …
15 Septemba 2022, 9:55 um
Bil.40 za Mradi Kunufaisha Huduma za Malaria Mkoani Katavi
KATAVI Mkoa wa Katavi umepokea mradi wa miaka mitano utakao gharimu Bilioni 40 unaosimamiwa na serikali ya Marekani chini ya taasisi ya afya ya Ifakara utakoshirikiana na Mkoa kusimamia huduma za Malaria . Akizungumza wakati wa kutambulisha mradi huo mkurungezi…
10 Septemba 2022, 7:47 mu
Jamii iwapeleke watoto wapate chanjo ya polio
RUNGWE-MBEYA NA:WANDE BUSHU Mratibu Wa Chanjo Katika Halmashauri Ya Wilaya Rungwe Mkoani Mbeya Ezekiel Mvile Amewaomba Wazazi Kuwapeleka Watoto Wao Katika Vituo Vya Afya Waweze Kukamilisha Dozi Ya Polio ili Iweze Kuwakinga Na Ugonjwa Huo. Ameyasema Hayo Wakati Akizungumza Na…