Radio Tadio

Afya

14 Juni 2025, 15:46

Somabiblia wawatoa msaada kwa wahitaji

Kampuni ya soma Biblia imefikisha miaka kumi katika kuadhimisha miaka hiyo wametembelea jeshi la magereza Rwanda Mbeya kuwatazama wafungwa na kutoa msaada wa vitu mbalimbli. Na Ezra Mwilwa Wadau na taasisi mbalimbali wameombwa kutowatenga wahitaji badala yake wanatakiwa kujenga utamaduni…

28 Mei 2025, 5:43 um

Manispaa ya Iringa kujenga soko la wajasiriamali wadogo

Changamoto ya wafanyajasiriamali wadogo Manispaa ya Iringa kuvamia katika maeneo yasiyo Rasmi kufanya shughuli zao imepatiwa mwarobaini. Na Godfrey Mengele Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imepanga kuanzia masoko mengine kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo ikiwa ni mpango mkakati wa kuhakikisha…

16 Mei 2025, 15:49

Wakulima waaswa kuweka akiba ya chakula Kasulu

Wakulima wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuwa na desturi ya kuweka akiba ya chakula ili kukabiliana na njaa. Na Hagai Ruyagila Mkuu wa wilaya ya kasulu kanali Isaac Mwakisu amewaagiza Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma kutoa…

9 Mei 2025, 12:54

Wakulima walia na bei ya pamba Kasulu

Serikali imesema itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wakulima wa pamba ili waweze kulima pamba kwa wingi. Na Hagai Ruyagila Wakulima wa zao la pamba wilayani Kasulu, mkoani Kigoma, wameiomba serikali kuongeza bei ya ununuzi wa zao hilo ili wakulima waweze…

24 Aprili 2025, 6:47 um

Maambukizi ya malaria yashuka mkoani Kagera

Serikali kupitia idara ya afya mkoani Kagera imefanikiwa kupunguza kiwango cha maambukizi ya malaria licha ya baadhi ya wilaya kuwa na kiwango cha juu cha maambukizi Theophilida Felician. Kiwango cha maambukizi ya malaria kwa mkoa wa Kagera kimepungua kutoka 34.9%…

18 Aprili 2025, 4:43 um

Mume aua mke chanzo kikitajwa wivu wa mapenzi

“Mama mzazi wa marehemu amepoteza maisha baada ya kupata mshtuko kutokana na taarifa ya kifo cha binti yake” – Mwenyekiti Na: Edga Rwenduru: Mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Lesine Chongela, mkazi wa kijiji cha Bugogo kilichopo Kata ya Bukoli,…

16 Aprili 2025, 3:23 um

MAUWASA yang’ara tuzo za mamlaka Tanzania bara

“Tuna kila sababu ya kuupongeza uongozi wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe,Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa nanma ambayo umeweza kutekeleza dhana ya kumtua mama ndoo kichwani kwa vitendo na siyo kwa maneno leo hii maji safi na salama…

16 Aprili 2025, 3:00 um

Wazazi wasiolea watoto kukiona cha moto Geita

Jeshi la polisi katika mkakati wa kukabiliana na changamoto ya vitedo vya ukatili kwa watoto Mkoani Geita Na Mrisho Sadick: Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limeanza oparesheni ya kuwakamata watoto wanaozurura mitaani nyakati za usiku na kuwawajibisha wazazi wao…