Radio Tadio

Afya

7 December 2023, 5:36 pm

Uhaba wa miundombinu, vifaa tiba kituo cha afya Mererani

Kituo cha afya Mererani. Picha na Mwandishi wetu Joyce Elius Kituo cha afya Merereni kilichopo kata ya Endiamutu mji mdogo wa Mererani wilayani Simanjiro kinakabiliwa na uhaba wa miundombinu na vifaa tiba hali inayosababisha wananchi wa eneo hilo kulazimika kupatia…

7 December 2023, 2:04 pm

Kichanga chawekwa mochwari saa 3 kikiwa hai Ngorongoro

Mtoto mchanga akaa mochwari akiwa hai kwa saa 3 baada ya kudaiwa na wauguzi kuwa amefariki. Na Zacharia James Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Mhe. Mwalim Raymond Mwangwala ameagiza kuchukuliwa kwa hatua za kinidhamu kwa baadhi ya wauguzi wa hospitali…

2 December 2023, 08:33

Serikali kuboresha miundombinu ya huduma za afya

Na Kelvin Lameck Serikali imesema itaendelea kuboresha miundombinu ya utoaji wa huduma za afya sambamaba na kutoa elimu kwa Wananchi ikiwa ni hatua ya kukabiliana na kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi. Hayo yamesemwa na mkuu wa Wilaya ya Mbarali…

2 December 2023, 07:17

Pimeni afya zenu ili muishi vizuri

Na Hobokela Lwinga Jamii mkoani mbeya imeombwa kujitokeza kwenye hospitali vituo vya afya, na zahanati kupima maambukizi ya virusi vya ukimwi na kuanza matumizi ya dawa za kufubaza virusi mara moja hasa mhusika agundulikapo kuwa na maambukizi ili kuendelea kuijenga…

2 December 2023, 7:07 am

Rungwe yajinasua na maambukizi ya usubi

Baada ya kufanyika kwa tafiti mbalimbali kuhusu kuwepo kwa ugonjwa wa usubi mikoa ya nyanda za juu kusini jamii imehamasika na unywaji wa dawa na kuweza kutokomeza. wadau mbalimbali wakiwemo watendaji wa kata,wenyeviti wa vijiji , madiwani,maafisa tarafa na madaktari…

1 December 2023, 9:09 pm

Wakurugenzi waaswa kutekeleza afua za mapambano dhidi ya Ukimwi

Na Adelphina Kutika Wakurugenzi wa halmashauri zote mkoani Iringa pamoja na wadau wa maendeleo wanaoshughulikia masuala ya Ukimwi chini ya programu ya PEPFAR kuelekeza fedha kwenye shughuli za utekelezaji wa afua za mapambano dhidi ya Virusi Vya Ukimwi. Agizo hilo…

30 November 2023, 10:42

Zahanati mpya ya kisasa yanukia Nduka

Baada ya kukosekana kwa huduma za afya kwa wananchi wa kijiji cha Nduka wilayani Kyela, serikali imepanga kujenga zahanati ya kisasa kijijini hapo. Na James Mwakyembe Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kyela ambaye ni diwani wa kata ya Ikimba…