Afya
4 January 2024, 11:12 am
Aonekana hai baada ya kufariki miaka 3 iliyopita Geita
Mwanamke Mugumba Misalaba aliyepatikana akiwa hai Fitina baada ya kufariki miaka 3 iliyopita. Picha na Amon Bebe Matukio ya baadhi ya watu kufariki dunia na kuonekana tena yameendelea kutokea katika maeneo tofauti, jambo ambalo linazua mizozo na kuhusishwa na imani…
30 December 2023, 09:04
Wananchi Rungwe waendelea kufurahia huduma za afya
Na mwandishi wetu Huduma ya matibabu katika kituo cha afya Iponjola zimeanza leo rasmi tarehe 29.12.2023 ikiwa ni hatua ya kuwasogezea wananchi huduma hii muhimu karibu na makazi yao. Kituo hiki kilichojengwa na Serikali kwa Kushirikiana na Wananchi kimegharimu zaidi …
28 December 2023, 18:09
Zahanati ya Ilenge kata ya Kyimo wilayani Rungwe imefunguliwa
Na mwandishi wetu Huduma ya Matibabu kwa Wagonjwa katika Zahanati ya Ilenge kata ya Kyimo imefunguliwa leo rasmi tarehe 27.12.2023 na kutoa huduma mbalimbali kwa ikiwemo ya mama na mtoto. Amesema pamoja na huduma zingine, wagonjwa wameendelea kunufaika na huduma…
27 December 2023, 3:30 pm
Wauguzi na wakunga 4166 kufanya usajili na leseni Decemba 29
Baraza la Uuguzi na ukunga Nchini mpaka sasa linajumla ya wauguzi na wakunga 49994 ambao wanatoa huduma kwenye zahanati ,vituo vya afya pamoja na hospitali za wilaya ,mikoa na rufaa. Na Mariam Matundu. Wauguzi na wakunga 4166 wanatarijia kufanya mtihani…
23 December 2023, 15:21 pm
Vifo vya wajawazito, watoto wachanga bado ni changamoto Mtwara-Makala
Kwa mujibu wa Mganga Mkuu mkoa wa Mtwara, kumekuwepo na ongezeko la vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga kwa kipindi cha miezi mitatu. Na Gregory Millanzi Binadamu tunapitia nyakati tofauti tofauti katika maisha yetu, baadhi ya nyakati tunazopita…
23 December 2023, 12:52
‘Cha Malawi’ chateketezwa Kasumulu
Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Kyela imeteketeza jumla ya tani 154.28 za madawa ya kulevya aina ya bangi zilizokamatwa baada ya misako mbalimbali ya jeshi la polisi wialayni hapa. Na Nsangatii Mwakipesile Mkuu wa wilaya ya Kyela Josephine…
22 December 2023, 2:20 pm
Hospitali Siha yakabidhiwa vifaa tiba na magari matatu
Vifaa tiba pamoja na gari vilivyokabidhiwa katika hospitali ya wilaya ya Siha (picha na Elizabeth Mafie) Hospitali ya wilaya ya Siha imekabidhiwa vifaa tiba pamoja na magari vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mia tisa. Na Elizabeth Mafie Ambulance…
21 December 2023, 5:47 pm
Tatizo la afya ya ngozi latajwa kuchangia muwasho wa jicho
Dkt. Salumu amesema matatizo ya ngozi pamoja na matumizi ya sabuni za aina tofauti husababisha mtu kupatwa na tatizo hilo. Na Aisha Alim. Tatizo la macho kupatwa na muwasho linataja kusababishwa na mambo mbalimbali ikiwemo tatizo la afya ya ngozi…
20 December 2023, 4:15 pm
Wananchi Katavi waaswa juu ya matumizi holela ya dawa za kuzuia mbu
Wananchi Katavi wameeleza mbinu wanazozitumia katika kuzuia na kupambana na ugonjwa wa malaria. Na Gladness Richard – Mpanda Wananchi Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameeleza mbinu wanazozitumia katika kuzuia na kupambana na ugonjwa wa malaria katika msimu huu wa mvua.…
20 December 2023, 4:06 pm
Wananchi Katavi waaswa kukata bima ya afya
Kufuatia uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote wananchi wa mkoa wa Katavi wametakiwa kukata bima ya afya. Na Deus Daud – KATAVI Kufuatia uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote wananchi wa mkoa wa Katavi…