Radio Tadio

Afrika

27 December 2024, 9:50 pm

Wachezaji zaidi ya 20 waikimbia Biashara United

Wakati ligi ya Championship ikielekea katika mzunguko wa pili timu ya Biashara United inakabiliwa na changamoto ya kiuchumi. Na Mrisho Sadick: Wachezaji zaidi ya 20 na benchi la ufundi la timu ya Biashara United ya mkoani Mara wameikimbia timu hiyo…

23 October 2024, 16:05

Tigo, serikali kushirikiana kuhudumia wananchi huduma za kifedha

Serikali ikiendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji nao wanawajibu wa kuendelea kutoa ushirikiano kwa kutoa huduma bora kwa wananchi. Na Hobokela Lwinga Kampuni ya mawasiliano Tanzania Tigo imesema itaendelea kutoa ushirikiano kwa Serikali kuhudumia wananchi katika nyanja mbalimbali ikiwemo kupitia…

17 January 2024, 5:35 pm

Watu wanne waangukiwa na ukuta wa Nyumba

Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha baadhi ya maeneo nchini zimesababisha nyumba nyingi kuanguka huku nyingine zikiwa katika hali tete ya nyufa, ambapo viongozi wengi wamekuwa wakitoa tahadhali kwa wananchi kuhama kwenye maeneo yenye changamoto au mkondo wa maji. Na:Emmanuel Twimanye…

6 September 2022, 10:06 am

Kenya: Kenyatta ajipanga kumkabidhi Ruto ‘mikoba’

Rais Mteulewa Kenya, William Ruto anatarajiwa kuapishwa siku ya Jumanne, Septemba 13, 2022 baada ya Mahakama ya Juu Zaidi kutupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa urais katika uchaguzi uliofanyika Agosti 9. Sherehe hiyo, inafanyika siku ya saba tangu tarehe…

12 July 2022, 4:40 pm

Atumia ARV miaka 6 bila kuwa na VVU

Mwanamke mmoja raia wa Uganda amejitokeza akitafuta haki kufuatia kugundulika kuwa hana Virusi Vya Ukimwi baada ya miaka sita ya kutumia dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo kutokana na kupimwa vibaya. Faridah Kiconco mwenye umri wa miaka 37, alianza…