
Afrika

July 10, 2025, 5:17 pm
Viongozi Kahama watakiwa kusikiliza, kutatua kero za wananchi
”kasikilizeni na kuzitatua changamoto mbalimbali za wananchi wenu pamoja na kushirikiana katika suala ya maendeleo” Mboni Mhita Na Sebastian Mnakaya Viongozi wa wilayani ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuendelea kusikiliza na kutatua changamoto mbali mbali za wananchi wao pamoja na…

2 June 2025, 6:45 pm
Wanafunzi 126 kuuwakilisha mkoa wa Geita UMITASHUMTA
Geita watarajia mafanikio makubwa katika mashindano ya UMITASHUMTA baada ya mchujo makini uliofanyika kuwapata wachezaji mahiri. Na Mrisho Sadick: Jumla ya wanafunzi 126 wa shule za msingi kutoka mkoa wa Geita wamechaguliwa kuuwakilisha mkoa huo kwenye mashindano ya UMITASHUMTA ngazi…

7 May 2025, 12:56 pm
Wakulima Manyara watakiwa kuacha kutegemea kilimo cha mvua
kwa upande wake mwakilishi kutoka ofisi ya mkoa wa manyara Magreth wiza aliyekuwa mgeni rasmi,amesema kuna haja ya wakulimà kuvuna maji kipindi cha mvua ili kulima kilimo cha umwagiliaji hususani msimu wa kiangazi na kuacha kutegemea mvuaa ambayo haitoi matokeao…

1 May 2025, 4:32 pm
Aliyemchoma mtoto wake mkono ahukumiwa, Bunda
Katika utetezi wake mshitakiwa aliiomba mahakama imuachie huru kutokana na yeye kuwa ni mjane na ana watoto watano wanamtegemea. Na Adelinus Banenwa Mahakama ya wilaya ya Bunda imemuhukumu kifungo cha masharti (condition discharge) cha kutokutenda kosa lolote ndani ya miezi…

23 April 2025, 4:41 pm
Mwalimu jela miaka 30 kwa ubakaji, ulawiti Bunda
Mbali na kifungo cha miaka 30 pia mahakama imeamuru kulipa fidia ya shilingi milioni 2 kwa muhanga kwa mujibu wa sheria ya uendeshaji wa makosa ya jinai 348 (1) sura ya 20 marejeo ya mwaka 2022. Na Adelinus Banenwa Mahakama…

31 March 2025, 4:18 pm
Watumishi Geita watakiwa kutumia michezo kuondoa tofauti zao
Michezo ni nguzo muhimu katika kuimarisha mahusiano na kuongeza uwajibikaji kazini kwa watumishi wa umma. Na Mrisho Sadick: Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale Mkoani Geita Grace Kingalame amewataka watumishi wa serikali Mkoani Geita kutumia michezo kuondoa tofauti zao nakuweka mbele…

21 March 2025, 7:07 am
Mwalimu, mchungaji mbaroni kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka 10
Matukio ya ubakaji wilayani Sengerema yanazidi kushamiri ambapo taarifa inayozungumzwa ni ya mtoto mwenye umri wa miaka 10 anayedaiwa kubakwa na watu wawili kwa nyakati tofauti. Na,Emmanuel Twimanye Jeshi la Polisi Wilayani Sengerema mkoani Mwanza linawashikilia watu wawili akiwemo mwalimu…

14 March 2025, 8:02 pm
Mzee Lucas ahukumiwa kwa kumbaka mjukuu wake wa miaka 13
Matukio ya ubakaji nchini yanazidi kushika kasi ambapo mzee mmoja mwenye umri wa miaka 56 amehukumiwa miaka 30 kwa kosa la kumbaka mjukuu wake wa miaka 13, baada ya mke wake kusafiri. Na,Emmanuel Twimanye Mahakama ya Wilaya Sengerema Mkoani Mwanza…

7 March 2025, 09:55
Moravian yatembelewa na wageni kutoka Ujerumani, waahidi ushirikiano
Wahenga wanasema nyumba bila wageni hiyo sio nyumba,ishara ya kutembelewa na wageni ni kuonyesha upendo wa namna unavyoishi na watu. Na Hobokela Lwinga, Mbeya Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi limewapokea na kuwaaga wageni kutoka nchini Ujerumani waliofika…

27 December 2024, 9:50 pm
Wachezaji zaidi ya 20 waikimbia Biashara United
Wakati ligi ya Championship ikielekea katika mzunguko wa pili timu ya Biashara United inakabiliwa na changamoto ya kiuchumi. Na Mrisho Sadick: Wachezaji zaidi ya 20 na benchi la ufundi la timu ya Biashara United ya mkoani Mara wameikimbia timu hiyo…