Radio Tadio

Afrika

6 Machi 2026, 19:38

Kesi ya Kaunya na wenzake yaendelea leo mahakama ya Bunda

Kesi hiyo inasikilizwa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Bunda, Mheshimiwa Mulokozi Kamuntu. Na Adelinus Banenwa Kesi ya jinai namba 21 ya mwaka 2026 inayosikilizwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda inaendelea kusikilizwa huku washtakiwa wakitetewa na…

09/02/2026, 10:55

Wafanyakazi wapongeza uwepo wa GGML Bonanza Day

“Uwepo wa bonanza hili si tu kwaajili ya kucheza michezo mbalimbali bali ni kuimarisha afya za mwili pamoja na mahusiano miongoni mwa wafanyakazi” – Dominic Marandu, mgeni rasmi. Na: Ester Mabula Wafanyakazi wa GGML pamoja na kampuni zilizopo ndani ya…

02/02/2026, 18:57

RC Songwe azindua gari SORECU

Hafla ya uzinduzi na kukabidhi gari ya SORECU. Na Devi Moses MKUU wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Jabiri Makame, amezindua na kukabidhi gari la Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Songwe (SORECU), lililonunuliwa kwa fedha za chama hicho, katika hafla…

17 Novemba 2025, 17:12

Wahitimu VETA Kibondo wahimizwa kujikwamua kimaisha

Wahitimu katika chuo cha ufundi stadi veta Wilayani Kibondo mkoani Kigoma wamehimizwa kutumia mafunzo waliyoyapata kwa ajili ya manufaa yao ili waweze kujikwamua katika maisha yao ya kila siku hali itakayopunguza wimbi la vijana wasio na ajira hapa nchini. Na…

14/10/2025, 11:19

Wanasimba wazindua mnara wa kisasa Mpomvu

“Vilevile tunaendelea kushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii kwa kushirikiana na serikali ikiwemo sekta za Afya na elimu” – Katibu wa tawi la Simba Mpomvu Na: Edga Rwenduru Mashabiki na wanachama wa klabu ya Simba katika mtaa wa Mpomvu uliopo…

07/10/2025, 04:48

GGML yaadhimisha miaka 25 kwa mashindano ya gofu Geita

Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeadhimisha miaka 25 tangu kuanzishwa kwake kwa kuandaa mashindano ya gofu katika viwanja vya Lake Victoria Golf Club vilivyopo ndani ya eneo la mgodi mkoani Geita. Na: Ester Mabula Mashindano hayo ni miongoni…

18/09/2025, 08:56

Mtwara yapiga hatua dhidi ya talaka holela

Door of Hope Tanzania imewasilisha mrejesho wa mradi wa “Pinga Ukatili, Jenga Amani na Kizazi Chenye Usawa” mkoani Mtwara, ukilenga kupinga ukatili wa kijinsia na kutoa msaada wa kisheria. Viongozi wamesifu mafanikio, ikiwemo kupungua kwa funga nyumba na talaka holela…

09/09/2025, 17:58

Simba tawi la Mkolani yawakumbuka wagonjwa

Kitendo hicho ni mfano wa kuigwa katika jamii kwani tukio hilo limeleta faraja kwa wagonjwa na hamasa kwa watoa huduma. Na Mwandishi Wetu: Kuelekea tamasha la Simba Day siku ya kesho, Mashabiki wa Simba tawi la Mkolani Manispaa ya Geita wamefanya…