Baraka FM

Maendeleo

24 March 2024, 09:04

Ujenzi Stendi ya Chimbuya Songwe kukamilika mwezi mei 2024

Baada ya kilio cha stendi ya kuegesha magari ya mizigo songwe hatimaye swala hilo limepatiwa ufumbuzi Na Ezra Mwilwa Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Songwe, Mhandisi Suleiman Bishanga amesema Matengenezo ya mahali pa kuegesha malori eneo…

20 March 2024, 16:47

Afisa tarafa akerwa na watendaji wazembe

Unapoaminiwa na kupewa kufanya kazi fulani huna budi kuonyesha jitihada zako za utendaji kazi kwa weledi. Na mwandishi wetu Afisa Tarafa ya Ilongo Magdalena Sikwese ameagiza Maafisa Watendaji wa Kata na Vijiji kuhakikisha wanatumia nafasi zao kwa kuwatumikia Wananchi vizuri…

29 February 2024, 17:06

Rungwe yazindua chanjo ya minyoo, kichocho

Na mwandishi wetu Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe. Jaffar Haniu tarehe 28.2.2024 amezindua zoezi la chanjo ya minyoo na kichocho ikiwa ni sehemu ya kutokomeza magonjwa yote yasiyopewa kipaumbele katika jamii. Zoezi hili limefanyika katika shule ya msingi Katumba…

29 February 2024, 16:43

Chunya yaongoza ukusanyaji mapato mkoa wa Mbeya

Na Mwandishi wetu Halmashauri ya wilaya ya Chunya imeendelea kuziongoza halmashauri za mkoa wa Mbeya katika ukusanyaji wa mapato kwa tofauti ya zaidi ya asilimia arobaini (40%) baada ya kukusanya shilingi bilioni 7.3 sawa na asilimia 133 kwa kipindi cha…

22 February 2024, 20:42

Homera aongoza kikao kamati ya ushauri mkoa wa Mbeya

Na Mwandishi wetu Leo February 22, 2024 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z Homera ameongoza Kikao Cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mbeya(RCC) kilicholenga kujadili, kushauri na Kutoa Mapendekezo juu ya Namna bora ya kutatua baadhi ya…