Baraka FM

Uncategorised

6 May 2024, 18:08

Watu kadhaa wahofiwa kwa kufa ajali Mbeya

Watumiaji wa barabara wamekuwa wakisisitizwa kutii na kufuata sheria za barabarani ili kuepusha ajali zisizo za lazima sambamba na kukagua vyombo vyao kabla ya safari. Na Hobokela Lwinga Watu kadhaa wanahofia kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika ajali ya roli…

3 May 2024, 14:35

Ajiua kwa kujirusha kwenye tairi la fuso Mbeya

Maisha ya binadamu yanapopatwa na msongo wa mawazo yamekuwa yakisababisha wengine kuchukua maamzi magumu ya Kujiondoa uhai kwa baadhi ya watu wanaokuwa wanaukosa kutoka kwa watu wao wa karibu. Na Yuda Joseph Mtu mmoja ambaye jina lake halijafamika amefariki dunia…

2 May 2024, 11:58

Viongozi idara za Moravian zapewa elimu kupinga ukatili

Utaratibu wa kanisa Moravian Ni kuhakikisha idara zake zinakuwa sehemu ya kuungana na jamii kupinga masuala ya ukatili yanayofanywa kwenye jamii. Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini kupitia Idara yake ya Ustawi wa jamii Inaendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo…

27 April 2024, 00:11

Wananchi watakiwa kutumia michezo kuimarisha afya zao

Afya ni mtaji jambo lolote ili uweze kulifanya linategemea afya njema hata hivyo wataalamu wa afya wanasisitiza kutunza afya kwa njia ya mazoezi kwani mazoezi yanatajwa kuwa tiba ya kuuokoa mwili wako usipatwe na magonjwa. Na Rukia Chasanika Ikiwa leo…

25 April 2024, 21:39

Viongozi wa dini waja na mkakati kabambe kilimo cha ufuta

Kwa kutambua umuhimu wa kilimo nchini, taasisi za dini zimejikita katika uzalishaji wa mazoa biashara katika kilimo cha ufuta. Na Ezra Mwilwa Umoja wa Makanisa Tanzania umejipanga kuanzisha mradi wa kilimo cha ufuta ili kuinua uchumi wa nchi. Kauli hiyo…

25 April 2024, 20:41

TADIO yawaasa wanahabari kutumia kalamu zao kwa weledi

Kufuatia ukuaji wa sayansi na teknolojia duniani, tasnia ya habari ni moja ya tasnia inayotakiwa kwenda sambamba na mabadiliko hayo katika kuzingatia taaluma yao kuwa karibu na jamii wanayoitumikia kwa kuwalisha habari zenye ukweli na uhakika. Na Hobokela Lwinga Waandishi…

23 April 2024, 11:42

T.A.G Galilaya laadhimisha miaka 85 kwa kupanda miti

Utunzaji wa mazingira hautegemei mtu mmoja au kikundi fulani bali utunzaji wa mazingira unamtegemea kila mtu kutokana na kwamba kila kiumbe hai kinategemea mazingira safi na bora katika eneo alikopo, zipo athali mbali ambazo zinaweza kujitokeza katika uharibifu wa mazingira…