Baraka FM

Uncategorised

12 December 2023, 19:23

Mbunge Sikonge Tabora aipongeza halmashauri ya Rungwe Mbeya

Na mwandishi wetu,Rungwe Mbeya Mheshimiwa Joseph Kakunda Mbunge wa  Jimbo la Sikonge Mkoa wa Tabora ameipongeza Halmashauri ya wilaya ya Rungwe kwa Kuzalisha zaidi ya  lita  za maziwa million 44 kwa mwaka hatua iliyoongeza kipato cha wananchi sambamba na uboreshaji…

5 December 2023, 14:58

Rungwe kupokea vitambulisho vya taifa 69,638

Na mwandishi wetu  Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe. Jaffar Haniu amezindua zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya  taifa (NIDA) leo tarehe 5.12.2023. Zoezi limezinduliwa katika kata ya Kyimo tarafa ya Ukukwe.  Mhe Haniu ameeleza kuwa jumla ya vitambulisho 69638…

13 November 2023, 18:50

Dkt.Tulia apokelewa kwa shangwe Mbeya

Na Hobokela Lwinga Mapokezi ya spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na rais wa umoja wa mabunge duniani Dkt. Tulia Ackson mkoani Mbeya hasa jimboni kwake Mbeya mjini yamefanyika kwa kishindo na ubora mkubwa. Wakati hafla hiyo…

14 October 2023, 06:16

LATRA yatoa msimamo wa upandaji wa nauli za daladala Mbeya

Madereva mbeya wamekuwa na mgomo ambao umepelekea changamoto ya ukosefu wa usafiri,na baadhi ya wahudumu kuwatoza abria nauli ya shilingi 700 kutoka mbalizi hadi kabwe tofauti na nauli ya awali ya shilingi 500. Mamlaka Ya Udhibiti Usafiri Ardhini LATRA mkoa…