Uyui FM

Recent posts

5 May 2024, 3:34 pm

Wananchi milioni 1.6 wapatiwa chanjo ya UVICO 19 Tabora.

Na Zaituni Juma Serikali mkoani Tabora imekuwa ikishirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Shirika la CARITAS Tabora katika utoaji wa chanjo ya UVICO 19 ili kumfikia kila mwananchi.Na Zaidi ya  watu milioni 1,600,000 wamepatiwa  chanjo ya UVICO 19 kwa mkoa wa…

23 April 2024, 7:10 pm

Zaidi ya wasichana 200,000 kufikiwa na chanjo ya HPV Tabora

Kampeni ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wenye umri wa miaka 9 hadi 14 imezinduliwa nchini naitafanyika kwa siku 5 mfululizo. Na Mohamed Habibu Wazazi na walezi  wenye  wasichana walio na  umri wa miaka 9 hadi 14…

18 April 2024, 4:20 pm

Malalamiko 62 yapokelewa TAKUKURU Tabora

TAKUKURU imekuwa ikipokea malalamiko yanayohusiana na vitendo vya rushwa na mengine kuhakikisha yanapelekwa kwenye mamlaka husika Na Omary Khamis Jumla ya malalamiko 62 yamepokelewa na Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Tabora katika kipindi cha mwezi…

15 April 2024, 10:52 pm

DC Mwansasu: Mkizidiwa vaeni kondomu

“Vijana ni nguvu kazi ya taifa kwahiyo lindeni afya zenu na mhakikishe mnacheza kwa uangalifu“ Na Elisha Lusatila Mkuu wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora Zakaria Mwansasu amewasihi wananchi kulinda afya zao dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI.Mwansasu ametoa rai hiyo…

13 April 2024, 6:51 pm

Wananchi Tabora waaswa kumuenzi Wakasuvi kwa uchapakazi

Marehemu Wakasuvi alikuwa mchapakazi lakini pia alikuwa na mahusiano mazuri na watu hivyo dumisheni amani na ushirikiano. Na Zaituni Juma Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amewataka wananchi kuendelea kuyaenzi yale aliyokuwa akiyatenda aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi…

19 March 2024, 4:20 pm

RC Chacha awataka watumishi kuwatendea haki wananchi

watumishi mkoani Tabora wametakiwa kufanya kazi kwa bidii huku wakiwatendea haki wananchi. Na Zaituni Juma Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amewataka watumishi mkoani hapa kuuthamini umma wanao uongoza. Ametoa rai hiyo mara baada ya kuwasili katika ofisi ya…

31 January 2024, 1:29 pm

Asilimia 90 kesi zinazoripotiwa mahakama ya wilaya Uyui ni za ubakaji

Asilimia 90 ya kesi zinazoripotiwa katika mahakama ya Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora ni za ubakaji. Na Zaituni Juma Hakimu mkazi Mfawidhi Mahakama ya wilaya ya Uyui mkoani Tabora Tausi Mongi amesema asilimia 90 ya kesi zinazoripotiwa katika mahakama hiyo…

6 October 2023, 11:16 am

Wanawake wenye ualbino walalamikia kunyanyapaliwa kwenye mahusiano

Jamii mkoani Tabora imeaswa kuondoa dhana potofu dhidi ya  wanawake  wenye  ualbino pindi wanapohitaji kuingia kwenye ndoa. Zaituni Juma ametuandalia taarifa zaidi baada ya kuwatembelea baadhi ya wanawake na viongozi wa chama cha watu wenye ualbino TAS – Tabora

25 September 2023, 3:19 pm

Vishawishi chanzo wanafunzi wa kike kushindwa kuendelea na masomo

Mfumo dume unaoendelea katika baadhi ya jamii umetajwa kuwa ni moja ya sababu inayosababisha wanafunzi  wa kike kushindwa kufaulu vizuri masomo yao. Zaituni Juma  ana taarifa zaidi baada ya kutembelea  kata ya Gongoni Manispaa ya Tabora katika shule ya msingi…

11 September 2023, 3:17 pm

Wanahabari kuwa mabalozi kutoa elimu ya sikoseli

Mkoa wa Tabora unashika nafasi ya nne miongoni mwa mikoa yenye waathirika wengi wa ugonjwa wa sikoseli nchini. Kaimu Mkurugenzi wa hospital ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete Dkt. Renatus Burashahu amewaomba waandishi wa habari kuwa mstari wa mbele…