Radio Tadio

Takwimu

15 March 2024, 7:40 pm

Bodaboda wasabisha kelele walalamikiwa Nzuguni B

Pikipiki zimekuwa zikichangia uchafuzi wa mazingira kutokana na kelele. Na Mindi Joseph.Wananchi wa Mtaa wa Nzunguni B kata ya Nzunguni Jijini Dodoma wamelalamikia waendesha pikipiki wenye tabia ya kutoboa exsoze za pikipiki na kusababisha vyombo hivyo kutoa sauti zinazo leta…

23 August 2023, 2:53 pm

Matukio ya udhalilishaji yaongezeka kwa 32.3% Zanzibar

Na Ahmed Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  imesema  pamoja na kupiga  vita dhidi ya matukio ya  udhalilishaji na ukatili kwa wanawake  na watoto lakini bado matukio hayo yanaongezeka kila siku. Kwa mujibu wa takwimu za makosa ya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia kutoka…

4 May 2023, 2:05 pm

Watumishi wa ofisi ya Takwimu watakiwa kufanya kazi kwa uadilifu

Aidha wamejadili namna ya kuendelea kuboresha takwimu,  changamoto, Mafanikio na kutafuta ufumbuzi. Na Alfred Bulahya. Wafanyakazi wa ofisi ya Taifa Takwimu (NBS) wameaswa kuendelea kuwa waadilifu katika uzalishaji wa takwimu ili kuliletea maendeleo Taifa. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri…