Radio Tadio

politics

29 November 2024, 17:23

Anusurika kifo baada ya kuchomewa ndani na mme wake

Wakati tukiwa kwenye siku 16 za kupinga ukatilii wa kijinsia na elimu kuendelea kutolewa kwa jamii bado ukatilii wa aina mbalimbali umeendelea kufanyika. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Mkapa kata ya Kumnyika halmashauri ya…

19 November 2024, 10:42 am

Moto watekeketeza hekta 400 za miti shamba la Sao Hill Mufindi

Na Ayoub Sanga Hekta zinazokadiriwa kufikia zaidi ya mia nne zimeteketea kwa moto katika mashamba ya Miti ya Sao hill yanayomilikiwa na Serikali pamoja na wananchi yaliyopo Wilaya ya Mufindi , Mkoani Iringa huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika. Akizingumza akiwa…

23 October 2024, 4:48 pm

Watumishi wa umma watakiwa kuzingatia uadilifu

Mfumo mpya wa manunuzi NEST umetajwa kuondoa urasimu na kuongeza uwajibikaji. Na Nyamizi Mdaki Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amezitaka taasisi zinazojihusisha na manunuzi mbalimbali kuzingatia maadili wakati wa kusimamia na kugawa zabuni zinazotangazwa. Mkuu wa Mkoa ameeleza…

13 October 2024, 5:24 pm

Wenye ulemavu wajipanga kushinda uchaguzi Kagera

“Wasioona ni muhimu wajiamini katika kila jambo wanalofanya kwa kuwa wana haki sawa na watu wengine wote hivyo wanapaswa kupewa ushirikiano katika jamii.“ Na: Theophilida Felician -Kagera Kuelekea chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2025 nchini vyama…

29 September 2024, 8:36 am

Wazazi, walezi Katavi watakiwa kuwafundisha maadili mema watoto

“Walimu pamoja na wazazi wanatakiwa kuweka ulinzi mkubwa kwa Watoto ili kujenga taifa moja litakalokuwa na kizazi chenye maadili mema.” Na John Mwasomola -Katavi Wazazi na walezi mkoani Katavi wametakiwa kuwalinda watoto na kuwafundisha maadili yanayofaa ili kuwaepusha na vishawishi…

14 September 2024, 7:07 pm

Ikolojia ya Simanjiro Lolkisale waaga watumishi wawili

Baadhi ya watumishi wa TAWA Ikolojia ya Simanjiro Lolkisale,viongozi wa serikali na wananchi katika picha ya pamoja kwenye hafla ya kuwaaga watumishi waliomaliza muda wao wa kutumikia Ofisi hiyo. (picha na Fransisca Fabiana) Na Joyce Elius na Grace Nyaki Mamlaka…

6 September 2024, 14:47

Watu 11 wafariki dunia, 44 wajeruhiwa ajalini Lwanjilo Mbeya

Siku chache zimepita tangu ajali mbaya kuukumba mkoa wa Mbeya ambapo watu 9 walifariki na 18 kujeruhiwa, wakati maumiv hayo yakiwa bado hayajapoa kwa ndugu waliopoteza wapendwa wao ajali nyingine inatokea ikiwa ni ndani ya mwezi September,2024. Na mwandishi wetu…

30 August 2024, 10:46

Hali ya majeruhi ajali ya treni Kigoma

Majeruhi wa ajali ya treni  73 waliopata ajali wakisafiri kutoka mkoani Kigoma kuelekea mikoa ya Tabora, Singida, Dodoma, Morogoro na Dar es Salaam wanaendelea kupatiwa huduma za matibabu bure chini ya serikali, katika hospitali za wilaya ya Uvinza na Maweni…

8 August 2024, 09:56

Madereva wanaokiuka sheria za barabarani kufutiwa leseni

Mkuu wa wilaya buhigwe Michael Ngayalina amelitaka jeshila Polisi wilayano humo kuwachukulia hatua za kisheriamadereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani ili kupunguza ajali. Na Michael Mpunije – Buhigwe Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma Limetakiwa…