Radio Tadio

msaada

6 November 2024, 5:53 pm

Wachimbaji wadogo wa madini watakiwa kutotumia zebaki

Na Mariam Kasawa . Wachimaji wadogo wa madini Nchini wameshauriwa kuachana na matumizi ya kemikali aina ya zebaki katika shughuli za uchenjuaji madini . Kwa mujibu wa shirika la Afya Duniani WHO linasema kemikali ya zebaki kwamba ni miongoni mwa…

5 November 2024, 5:57 pm

Wachimbaji wadogo wa madini kuachana na matumizi zebaki

Na Mariam Kasawa. Wachimbaji wadogo wa madini nchini wametakiwa kuachana na matumizi ya kemikali ya zebaki (Mercury) na kutumia teknolojia mbadala kwenye uchenjuaji wa dhahabu ili kulinda afya ya binadamu na Mazingira. Dkt. Immaculate Sware Semesi Mkurugenzi Mkuu NEMC  akiwa…

21 October 2024, 7:35 pm

Madini yapata vitendea kazi kudhibiti upotevu

Na Mariam Kasawa. Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amezindua magari mapya 25  yalilyotolewa na serikali kama vitendea kazi ili kutimiza lengo la makusanyo ya mapato na udhibiti wa utoroshaji wa madini. Akizungumza kwenye uzinduzi huo, octoba 21 Mhe. Mavunde…

2 January 2024, 18:54

Dkt. Tulia afanya tendo la huruma kwa wakazi wa Rungwe

Na mwandishi wetu Spika wa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Tulia Akson Mwansasu kupitia asasi isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust amekabidhi nyumba mbili pamoja na kiti mwendo kwa wakazi wawili wenye mahitaji maalumu katika kata ya Kisondela…

21 December 2023, 9:52 pm

HRT watoa msaada kwa wanafunzi wenye uhitaji

Chama cha ushirika wa akiba na mikopo Hai Rural Teachers SACCOS (HRT) wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kimetoa msaada wa sare za shule kwa wanafunzi wenye uhitaji kutoka shule 16 za wilaya ya Siha. Na Elizabeth Mafie Chama cha Ushirika wa …

13 December 2023, 10:30 pm

Jamii yatakiwa kuwasaidia watoto wenye uhitaji

Diwani awaandalia tafrija fupi watoto wenye uhitaji. Na Latifa Boto Diwani wa kata ya Masama Magharibi wilayani Hai mkoani Kilimanjaro Mashoya Natai ameitaka jamii kuwasaidia watoto wenye mahitaji mbalimbali hususani katika msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka ili…