Radio Tadio

mazingira

10 June 2024, 6:53 pm

DUWASA yapiga marufuku matumizi ya maji taka

Serikali ya Awamu ya Sita imetenga shilingi Bilion 160 kwa ajili ya kutekeleza ujenzi wa mabwawa 16 ya kutibu maji taka katika kata ya Nzuguni na mradi huu utaanza kutekelezwa mwazi July 2024. Na Mindi Joseph.Mamlaka ya maji safi na…

3 April 2024, 6:13 pm

DUWASA yaendelea na ukaguzi miundominu ya maji taka

Katika zoezi hilo DUWASA imebaini kuzidiwa na miundombinu ya majitaka eneo la Makole. Na Seleman Kodima.Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) imeendelea na zoezi la ukaguzi wa miundombinu ya majitaka katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma…

2 February 2024, 4:12 pm

Taharuki mlipuko na maporomoko ya tope Chato

Siku chache baada ya kutokea kwa maporomoko makubwa ya tope mkoani Manyara hali hiyo imejitokeza Chato mkoani Geita japo siyo kwa ukubwa. Na Mrisho Shabani Wakazi wa kitongoji cha Iloganzara kijiji cha Songambele wilayani Chato Mkoani Geita wamekumbwa na taharuki…

30 January 2024, 2:13 pm

Taka zarundikwa kwenye makazi ya watu mjini Sengerema

Mji wa Sengerema kwa mda mrefu umekuwa ukionekana kuwa na mrundikano wa uchafu kwenye vizimba vilivyopo mjini ambapo Halmashauri imekuwa ikitumia vibarua kuzizoa na baadhi yao wamekuwa wakitoa kwenye vizimba na kwenda kuzimwaga kwenye makazi ya watu. Na:Emmanuel Twimanye Wakazi…

24 January 2024, 10:17 pm

Wafanyabishara sabasaba wafurahia mazingira ya soko

Soko la Sabasaba ni miongoni mwa masoko makubwa yaliyopo Jijini Dodoma ambayo ni maarufu kwa uuzwaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo mbogamboga matunda na mavazi. Na Thadei Tesha.Wafanyabiahara wa soko la sabasaba Jijini Dodoma Wameelezea kufurahishwa na hali ya mazingira ya…

11 December 2023, 16:29

Kyela:”Tunaogopa kuingia mtoni kisa mamba”

Baadhi ya wananchi wanaouzunguka mto mbaka hapa wilayani Kyela wameiomba serikali ya halmashauri ya wilaya kyela kuwavuna mamba wanaongezeka kwa kasi katika mto mbaka. Nsangatii Mwakipesile Kufuatia ongozeko la wanyama aina ya mamba ndani yam to mbaka hapa wilayani Kyela…

6 December 2023, 8:22 am

Vyoo, visima na nyumba vyazingirwa na maji Ibolelo, Geita

Ni moja ya eneo lililopo mtaa wa Ibolelo, kata ya Nyankumbu mjini Geita ambalo limeathirika na mvua, Je wananchi wanaishi vipi katika mazingira haya?. Na Evance Mlyakado- Geita Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Geita zimeendelea kuleta…

October 22, 2023, 12:35 pm

Wananchi waaswa kuendelea kutunza miradi ya maendeleo

Naibu waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira), Mhe. Khamis Hamza Khamis na viongozi wa halmashauri katika mradi wa shamba la kilimo cha ngano ugabwa.picha na ombeni mgongolwa Kutokana na fedha kutolewa kwaajili ya kuendeleza miradi…

15 October 2023, 1:32 pm

Pangani watakiwa kufanyia kazi taarifa za majanga ya asili

“Ni vyema wananchi wakachukua tahadhari wanapoona viashiria vya majanga na pia kuepuka kujenga nyumba kiholela.” Na Catheline Sekibaha Wananchi wilayani Pangani mkoani Tanga wametakiwa kuchukua tahadhari wanapopewa taarifa za uwepo wa viashiria vya matukio ya majanga ya asili ili kuepusha…