Radio Tadio

maji

21 October 2025, 8:23 am

Mikutano 65 ya injili yaleta mabadiliko makubwa Geita

Lengo la huduma hiyo sasa ni kufika nje ya mkoa wa Geita ili kufikisha ujumbe wa Injili kwa Watanzania wengi zaidi. Na Kale Chongela – Geita Uwepo wa mikutano ya Injili katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Geita umeendelea kuleta…

10 September 2025, 3:44 pm

Migogoro ya familia inavyoathiri zoezi la unyonyeshaji

Afisa Ustawi wa Jami jiji la Dodoma Rosemary Nicodemus wakati akizungumza na Taswira ya Habari anasema uwepo wa migogoro katika familia ni jambo linaloathiri zoezi la unyonyeshaji kwa mama. Na Lilian Leopold.Halmashauri ya Jiji la Dodoma imeeleza kuwa moja ya…

26 August 2025, 3:37 pm

Unyonyeshaji kwa mtoto mama akifariki baada ya kuzaliwa

Je, mtoto ambaye amezaliwa na mama yake kufariki ni hatua zipi zinapaswa kufuata ili kumpatia maziwa? Na Yussuph Hassan.Leo tunaangazia namna sahihi ya unyonyeshaji wa maziwa ya mama kwa mtoto ambaye mzazi wake amefariki baada ya kuzaliwa. Huu ni mwanzo…

8 August 2025, 4:08 pm

Unyonyeshaji wafikia asilimia 66 nchini

Wiki ya unyonyeshaji inakwenda  na kaulimbiu isemayo  thamini unyonyeshaji weka mazingira wezeshi kwa mama na watoto kupitia ligi ya mpira. Na Anwary Shaban. Takwimu za miaka 30 iliyopita zinaonesha unyonyeshaji wa mama kwa mtoto zilikuwa chini ukilinganisha na kwa mwaka…

4 August 2025, 5:42 pm

Wanaume watakiwa kushiriki wakati wa unyonyeshaji

Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji hufanyika kila mwaka kuanzia tarehe 1-7 Agasti Na LovenesMiriam. Imeelezwa kuwa ushirikishaji wa wanaume katika suala la unyonyeshaji kwa mama ni muhimu ili kuhakikisha afya ya mama na mtoto. Hayo yamebainishwa na Bi Neema Joshua…

8 August 2024, 4:22 pm

Akina mama wanaonyonyesha watoto watakiwa kuheshimu muda

Afisa Lishe wa Halmashauri ya jiji la Dodoma Bi. Seminieva Juma akizungumzia juu umuhimu wa kunyonyesha. Na Seleman Kodima.Ikiwa jana ni kilele cha maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji duniani yalioanza tangu Agosti mosi, akina mama wanaonyonyesha watoto wametakiwa kuheshimu muda…

25 January 2024, 16:04

Bilioni 30 kutumika mradi wa maji wa miji 28 Kasulu

Zaidi ya bilioni 30 zimetengwa na Serikali katika halmashauri ya mji kasulu kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa maji wa miji 28 kasulu mjini ambao unajengwa kata ya kumnyika katika halmashauri hiyo. Michael Mpunije Kutoka Wilaya ya Kasulu ametuandalia…

20 January 2024, 9:48 am

Mradi wa Kata 5 kunufaisha watu zaidi ya laki moja Geita

Serikali imedhamiria kumaliza changamoto ya maji kwa kuendelea kutekeleza miradi mikubwa ya maji hususani vijijini. Mrisho Shabani: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 10.8 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji wa…