Majengo
13 December 2023, 7:34 pm
Utiririshaji wa maji taka waweka mashakani afya za wakazi wa mtaa wa Majengo
Ubovu wa miundombinu ya maji taka hasa kipindi cha masika inatajwa kuwa ni hatari kwa afya ya binadamu kutokana na kutiririka kwa maji taka ambayo huambatana na uchafu wa kila aina. Na Khadija Ibrahim. Baadhi ya wakazi wa Mtaa wa…
14 November 2023, 3:29 pm
Kuondolewa kwa sheria ya kushusha mizigo Job Ndugai kwaleta neema kwa wafanyabia…
Wafanyabiashara katika soko kuu la majengo jijini Dodoma pamoja na soko la sabasaba walikuwa wakishusha mizigo yao katika soko la Job Ndugai na katika siku za hivi karibuni Jiji la dodoma liliruhusu wafanyabiashara kushusha mizigo katika masoko yao. Na Khadija…
19 September 2023, 5:18 pm
Wafanyabiashara Majengo wapongeza kuimarika kwa usafi
Usafi katika Soko hilo umesaidia kuendelea kuepukana na Magonjwa mbalimbali ya Mlipuko yatokanayo na uchafu. Na Mindi Joseph.Wafanyabiashara katika soko kuu la Majengo wamesema hali ya usafi imeimarika katika soko hilo kufuatia kuwepo kwa eneo maalum la kuweka takataka. Baadhi…
2 August 2023, 3:43 pm
Wakazi wa Fatina walalamika maji taka kutiririka mtaani
Hivi karibuni kumekuwa na changamoto ya kuzibuka kwa chemba za maji taka na kutiririsha maji katika mtaa wa Fatina, ambapo kwa mujibu wakazi wa eneo hilo chemba hizo huchukuwa takribani hadi muda wa siku 10 katika kuzibuliwa. Na Mariam Msagati.…
7 July 2023, 5:27 pm
Wafanyabiashara Dodoma watakiwa kwenda maeneo waliyotengewa
Mara kadhaa Dodoma Tv imeshuhudia baadhi ya wafanyabiashara wakilalamikia mgambo wa jiji kuwafukuza katika maeneo ambayo wamekatazwa kufanya biashara ambapo mara kadhaa halmashauri ya jiji imekuwa ikiwataka kuhamia katika maeneo waliyopangiwa. Na Thadei Tesha. Wafanyabiashara wanaofanya biashara katika eneo lilopo…
28 April 2023, 4:52 pm
Wafanyabiashara Soko kuu Majengo kutembelea hospitali ya Mkoa wa Dodoma
Amesema kutoa mahitaji kwa wagonjwa ni moja ya njia sahihi ya kurudisha fadhila kwa jamii kwa kufanya matendo ya huruma. Na Thadei Tesha. Wafanyabiashara katika soko kuu Majengo jijini Dodoma wanatarajia kutembelea na kutoa mchango wa vyakula kwa wagonjwa katika…
17 April 2023, 4:50 pm
Wananchi wakosa elimu ya mboga lishe
Mboga lishe ni miongoni mwa bidhaa za mbogamboga zinazopatikana katika masoko mbalimbali jijini Dodoma ingawa bidhaa hii imekuwa ikipatikana kwa uchache . Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara wa mboga lishe jijini Dodoma wamesema kuwa ukosefu wa elimu pamoja na…