Radio Tadio

Huduma

21 June 2024, 5:58 pm

Wafanyabiashara watakiwa kusajili majina na alama za biashara zao

Sheria inamuhitaji kila mfanya biashara ajirasimishe kwasababu ukirasimisha biashara yako unapata faida nyingi ikiwa pamoja na kupata tenda mbali mbali za serikali na sekta binafsi. Mindi Joseph.wajasiriamali na wafanyabiashara nchini wametakiwa kusajili na kurasimisha majina na alama za biashara ili…

23 January 2024, 12:59 pm

Wagonjwa hospitali ya Kibon’goto waridhika na huduma

Wagonjwa mbalimbali kutoka hospitali maalum ya taifa ya magonjwa ambukizi kibon’goto waridhishwa na huduma. Na Elizabeth Mafie Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali maalumu ya Taifa ya magonjwa ambukizi Kibong’oto iliyopo wilayani Siha mkoani Kilimnjaro Dkt Leornad Subi  amesema hospitali hiyo itaendelea…

10 February 2023, 1:45 pm

Huduma za kijamii zazidiwa na ongezeko la watu

Waziri wa Nishati na Madini Januari Makamba mwaka jana dec 25 alisema kuwa  Wizara inaanza program ya kupeleka umeme kwenye vitongoji. Kwani tayari serikali imefikia asilimia 75 katika kufikisha umeme vijijini Na Victor Chigwada.                                                          Imeelezwa kuwa ongezeko la watu…