chakula
18 October 2023, 9:29 am
FAO yaahidi kuunga mkono juhudi za Tanzania
Mkutano huo ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka nchi wanachama, viongozi wakuu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa. Na Mindi Joseph. Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa amesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limeahidi kuunga mkono jitihada za…
16 October 2023, 17:04
Wananchi washauriwa kuongeza kasi ya ulaji vyakula vyenye protini
Serikali imeendelea kusisitiza suala la ulaji wa vyakula na unywaji wa maziwa ili kufikia matarajio ya umoja wa mataifa wa ulaji wa vyakula. Na, Josephine Kiravu Wananchi Mkoani kigoma wametakiwa kuongeza kasi ya ulaji wm vyakula vyenye protini na unywaji…
18 August 2023, 5:27 pm
Madiwani watakiwa kupambania chakula shuleni
Madiwani wamesisitizwa kuhakikisha upatikanaji wa chakula shuleni unazingatiwa. Mkuu wa wilaya ya Igunga Sauda Mtondoo amewataka madiwani kushirikiana na walimu kuhakikisha chakula kinapatikana shuleni ili wanafunzi wapate muda wa kutosha wa kujifunza. Amesema hayo akiwa kwenye kikao cha baraza la…
28 March 2023, 1:42 pm
Biashara ya chakula jijini Dodoma yashuka
Wafanyabiashara wa vyakula jijini Dodoma wamelalamikia ugumu wa biashara hususani katika kipindi hiki ambapo waislamu na baadhi ya wakristo wakiwa katika kipindi cha mfungo. Na Thadei Tesha. Wafanyabiashara wa vyakula jijini Dodoma wamelalamikia ugumu wa biashara hususani katika kipindi hiki…
16 September 2022, 1:01 pm
Serikali yasisitiza umuhimu wa lishe bora shuleni
Na; Alfred Bulahya. Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imesema kuwa ili kupata matokeo mazuri ya elimu ni lazima kuhakikisha upatikanaji wa lishe bora shuleni ili kuwajengea wanafunzi afya bora na kupata utulivu wa akili wawapo madarasani. Akizungumza Jijini…
17 August 2022, 4:04 pm
Watu Nane wa Familia Moja wahisiwa kula chakula chenye Sumu Pangani.
Hali ya afya ya watu wa familia moja waliopata madhara baada ya kula chakula kinachohisiwa kuwa kimechanganyika na sumu wilayani Pangani Mkoani Tanga inaendelea vizuri na tayari saba kati yao wameruhusiwa kutoka hospitalini huku mmoja akiwa anaendelea kupatiwa matibabu.…
7 March 2022, 1:46 pm
Jamii inahitaji zaidi Elimu ya Afya ya akili
Na; Benard Filbert. Wadau wa afya nchini wameombwa kuwekeza katika utoaji wa elimu ya afya ya akili kwa vijana ili kuwasaidia kuondokana na changamoto mbalimbali. Hayo yameelezwa na mkurugenzi wa huduma za tiba kutoka wizara ya afya wakati akizungumza na…
12 October 2021, 12:57 pm
Serikali yatakiwa kuongeza nguvu katika kuwekeza na kupambana na magonjwa ya Afy…
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa serikali kuongeza nguvu ya kuwekeza katika magonjwa ya afya ya akili . Wito huo umetolewa na Rais na muasisi kutoka shirika la afya ya akili ya Jamii Tanzania (CMHI-Tanzania) Dr. Joshua John na kusema…
11 October 2021, 12:30 pm
Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milioni saba wenye matatizo yanayo husiana na…
Na; Yussuph Hans. Wakati Dunia ikiadhimisha Siku ya Afya ya Akili hapo jana, imeelezwa kuwa Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milioni saba wenye matatizo yanayohusiana na afya ya akili. Hata hivyo, sababu mbalimbali zimetajwa kusababisha matatizo ya afya ya akili…