Podcasts

12 September 2023, 1:37 pm

Hatma ya watoto wa kike waliopata ujauzito katika umri mdogo

Mimba za utotoni ni miongoni mwa sababu zinazosababisha wasichana wengi kutotimiza ndoto zao huku takwimu zikionesha asilimia 40 ya wasichana huacha masomo kutokana na mimba, hii ni kwa mujibu wa utafiti wa mwaka 2016 wa Human Rights Watch. Frida Mwaipopo…

September 12, 2023, 12:22 pm

Wananchi waipongeza serikali kutatua mgogoro wa eneo la kuzika

Na Maoni Mbuba, Songwe Wananchi wa kijiji cha Mbebe kata ya Mbebe wilayani Ileje mkoani Songwe waipongeza serikali kupitia kwa mwanasheria wa halmashauri hiyo kumaliza mgogoro wa maeneo ya kuzika baina ya wananchi kijijini hapo. Wananchi hao wamesema hayo wakati…

September 12, 2023, 9:24 am

Maisha na UVIKO 19

Umuhimu wa chanjo ya UVIKO 19 kwa wana jamii na kuchukua tahadhari ili kujilinda dhidi ya maambukizi ya mlipuko huo. Mtalaam wa afya kutoka ofisi ya Mganga mkuu wilaya ya Nyasa Dr Richard Kubingwa Akitoa elimu ya uchanjaji na kujikinga…

6 September 2023, 3:06 pm

Vilindoni shule kongwe yenye changamoto

Licha ya shule hii kuwa Kongwe lakinibado inakabiliwa na upungufu wa madawati, upungufu wa walimu na Uchakavu wa madarasa. Na Yussuph Hassan. Leo kamera ya fahari ya Fahari imegonga hodi katika kata ya Mbabala shule ya msingi Vilindoni ,shule hii…

5 September 2023, 1:00 pm

Wanawake Micheweni walia kutelekezwa na waume zao.

Wanawake na watoto wamekuwa ni wahanga wakubwa kwenye suala zima la utelekezaji hivo ipo haja kuhakikisha kuwa tunashirikiana kwa kina kuhakikisha tunaondoa tatizo hilo ambalo linapigiwa kelele siku hadi siku katika jamii zetu Na Mwiaba Kombo