Podcasts
21 December 2023, 4:23 pm
Mila, desturi zachangia kumnyima mwanamke haki ya kumiliki mali
Mila na desturi zimetajwa kuchangia kumnyima mwanamke haki ya kumiliki mali hali inayomrudisha nyuma kimaendeleo na kuchochea vitendo vya ukatili wa kijinsia . Na Mariam Matundu.Mariam Matundu amezungumza na mwanasheria kutoka Chama Chama Wanasheria Wanawake TAWLA Neema Ahmed ana anaanza…
13 December 2023, 8:59 pm
Wafanyabiashara Sabasaba washukuru kuboreshewa miundombinu ya soko
Soko la sabasaba ni miongoni mwa masoko makubwa na maarufu katika jiji la dodoma ambapo kwa mujibu wa baadhi ya wakaz wa jiji la dodoma wanasema kuwa soko hili linasifika kwa kuuzwa bidhaa za mbogamboga na matunda kwa bei rahii…
13 December 2023, 8:39 pm
Leo tunaangazia uongozi kwa wanawake
Ameanza jitihada za kuhakikisha elimu inatolewa kwa wanawake. Na Mariam Matundu.Mifumo dume pamoja na uwoga vimetajwa kuwa sababu ya baadhi ya wanawake kushindwa kuwania nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali wakati wa chaguzi . Diwani wa kata ya Nala bw.…
13 December 2023, 3:27 pm
Biashara ya nyama choma kijiji cha Terrat
Biashara ya nyama choma ni moja ya biashara inayofanya vizuri haswa katika maeneo ya mijini lakini je Vijijini hali ikoje ? Kijiji cha Terrat kilichopo wilaya ya Simanjiro Mkoa wa Manyara huwa na Soko kila siku ya alhamisi ambapo wachuuzi…
13 December 2023, 12:37 pm
Nafasi ya mwanamke katika kutokomeza ukatili wa kijinsia-Kipindi
Na Mariam Juma
12 December 2023, 9:17 pm
Leo tunaangazia Wafanyakazi wa Nyumbani
Baadhi ya wafanyakazi wa Nyumbani wamekuwa hawana uhuru na vipato vyao. Na Mwandishi wetu. Kufuatia kuwepo kwa wimbo la baadhi ya waajiri na wazazi wa wafanyakazi wa nyumbani kutokuwapa uhuru wa kipato wafanyakazi wao baadhi ya wananchi wametoa maoni yao…
10 December 2023, 5:28 pm
Kijiji cha Andikoni Pemba chalilia kukosa barabara toka mapinduzi ya Zanzibar
kijiji cha Andikoni ni moja ya kijiji ambacho kinapatikana katika wilaya ya mkoani, kijiji hicho ni miongoni mwa kijiji kilichokosa miundombini ya barabara kwa muda mrefu sasa na wakaazi wake kulilia changamoto hiyo na kuiomba serikalia kuwaonea huruma na kuwatengenezea…
8 December 2023, 11:42 am
Makala: Kwanini hospitali ya jiji la Arusha haijakamilika?
Kwa mujibu wa ripoti ya ukaguzi wa ofisi ya Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG jengo hilo lilitengewa shilingi Bilioni 3.9 Na Joel Headman Msikilizaji ukisoma muundo wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa wa…
8 December 2023, 11:40 am
Makala: Mkenda ahamasisha kilimo cha parachichi Rombo
Mbunge wa Jimbo la Rombo Pro Adolf Mkenda amekabidhi Miche ya maparachichi zaidi ya elfu moja kwa wakulima kutoka vijiji mbali mba doli Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro. Na Elizabeth Mafie Mbunge wa Jimbo la Rombo Prof Adolf Mkenda amekabidhi Miche…
8 December 2023, 11:09 am
Makala: Bei ya mahindi katika soko la Terrat
Wachuuzi wa mahindi katika soko la Terrat Wakaazi wa kijiji cha Terrat wilaya ya Simanjiro wamelalamikia hali ya mfumuko wa bei ya mahindi ulivyongezeka kwa zaidi ya asilimia 100 kutoka shilingi elfu 7,000 hadi shilingi elfu 15,000. Na Isack Dickson.…