Podcasts

24 July 2023, 5:27 pm

Historia kuanzishwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi

Je, kipi kilichangia msukumo wa kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi? Na Yussuph Hassan Tunaendelea kuitazama historia ya wilaya ya Bahi iliyopo mkoani Dodoma na leo tunaangalia historia ya kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani humo.

21 July 2023, 5:25 pm

Historia ya kilimo cha mpunga wilayani Bahi

Msimuliaji wetu anaendelea kutufahamisha kuanzishwa kwa mashamba haya na lini yalianzishwa. Na Yussuph Hassan. Tunaendelea kuangazia  historia ya wilaya ya Bahi na leo tutafahamu historia ya mashamba ya mpinga katika wilaya hii.

21 July 2023, 4:48 pm

Kaizer Chiefs kucheza na Yanga kesho

Karibu upate habari za michezo kutoka hapa Nchi Tanzani zikisimuliwa kwako na mwana michezo wetu Rabiamen Shoo. Na Rabiamen Shoo. Kikosi cha Kaizer chiefs ‘Amakhosi’ kimetua Tanzania kwa ajili ya Mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga kwenye Kilele cha Wiki…

20 July 2023, 5:06 pm

Ifahamu maana halisi ya jina Bahi

Kila jina huwa na maana au asili je jina Bahi lina maana gani na asili yake ni nini? Na Yussuph Hassan. Wilaya ya Bahi ni mojawapo kati ya wilaya saba za mkoa wa Dodoma. Wilaya hii ilianzishwa rasmi mwaka 2007…

13 July 2023, 5:58 pm

Fahamu matibabu ugonjwa wa saratani ya jicho

Dkt Japhet Bright Bingwa wa Mgonjwa ya Macho kutoka Hospital ya rufaa ya Dodoma anaeleza juu ya matibabu ya ugonjwa huo. Na Yussuph Hassan. Leo tunazungumzia utaratibu wa matibabu ya ugonjwa wa saratani ya jicho kulingana na dalili mbalimbali tukiungana…

12 July 2023, 1:32 pm

Makala: Mwananchi unaelewa nini kuhusu Dhamana?

Sikiliza Makala ya Tafakari Pevu iliyoandaliwa na Storm FM kuhusu Dhamana. Makala hii huruka kila siku ya Jumanne saa moja kamili hadi saa moja na dakika thelathini asubuhi na kurudiwa Jumamosi saa nne asubuhi 88.9 Storm FM Sauti ya Geita.…