Storm FM
Storm FM
September 18, 2025, 10:26 pm
Baada ya changamoto ya muda mrefu ya kutokuwepo kwa huduma ya upasuaji kwa wajawazito, Kituo cha Afya cha Ngarenaro mkoani Arusha kimezindua rasmi huduma hiyo muhimu, hatua inayolenga kuokoa maisha ya mama na mtoto wakati wa kujifungua. Na Jenipha Lazaro…
16 September 2025, 8:53 am
TRA Mkoa wa Morogoro imetoa elimu kwa wafanyabiashara wa Ifakara kuhusu mabadiliko ya sheria za kodi na matumizi sahihi ya mashine za EFD, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhamasisha ulipaji wa kodi kwa hiari na kuongeza uelewa wa majukumu…
11 September 2025, 09:02 am
Jeshi la Polisi Mtwara linawashikilia watuhumiwa 13 kwa tuhuma za wizi wa pembejeo za korosho zilizotolewa kwa wakulima msimu wa 2024/2025, wakiwemo watendaji wa serikali Na Musa Mtepa Mtwara, Septemba 10, 2025 – Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linawashikilia…
August 28, 2025, 11:42 pm
Askari wa jeshi la akiba (mgambo) mkoani Kagera wametakiwa kuwa malinzi wa raia na mali zao na kuwa wazalendo katika kulilinda taifa lao dhidi ya vitendo vya uhalifu. Na Anold Deogratias Mkuu wa wilaya ya Bukoba mkoani Kagera Erasto Yohana…
27 August 2025, 11:21 am
Makala hii inaelezea ushiriki wa wanawake wenye ulemavu katika nafasi za uongozi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Na Hafidh Ally na Dorice Olambo Nuru FM imekuandalia makala hii maalum kujua ni kwa kiwango gani watu wenye ulemavu hasa wanawake…
August 23, 2025, 1:39 pm
Matendo hayo ni pamoja na kuchangia damu, kufanya usafi wa mazingira na kutoa misaada kwa wagonjwa katika hospitali ya Nyamiaga. Na David Mwaluseke- Ngara, Kagera Katika kuadhimisha miaka 64 ya Jeshi la Magereza Tanzania Bara baada ya Uhuru, jeshi hilo…
13 August 2025, 21:10
Historia inaonyesha kuwa kanisa la Moravian ndilo kanisa la pili kuanzishwa na la Kwanza duniani kuanzisha uamsho likitokea kanisa catholic. Na Hobokela Lwinga Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi limeungana na wakristo wa dhehebu hilo kuadhimisha siku…
August 9, 2025, 9:12 pm
viongozi wa vyama vya siasa, viongozi wa dini na wadau wengine wa uchaguzi wamekutana Mbozi kuweka mikakati ya kuhakikisha uchaguzi mkuu unafanyika kwa amani na haki, huku DC Hamad Mbega akitoa onyo kali kwa wavunjifu wa amani Na Stephano Simbeye…
4 August 2025, 14:22
Ibada ni sehemu ya maisha ya binadamu, hivyo kila mtu anaowajibu wa kuheshimu ibada katika maisha. Na Hobokela Lwinga Kanisa la Moravian Tanzania limetoa taarifa ya uwepo wa ibada ya kukumbuka kushuka kwa Roho mtakatifu itakayofanyika August 13,2025 katika shirika…
22 July 2025, 16:44 pm
Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) imesema uzalishaji wa korosho umeongezeka hadi tani 528,000 msimu wa 2024/2025, kutokana na pembejeo za ruzuku. Mapato ya kigeni pia yameongezeka. Na Musa Mtepa Utoaji wa pembejeo za ruzuku kwa wakulima wa korosho umeleta mapinduzi…