Storm FM
Storm FM
4 December 2025, 5:28 pm
Madiwani wa manispaa ya Mpanda. Picha na Samwel Mbugi “Maadili ndio msingi wa maendeleo yetu katika manispaa yetu ya Mpanda” Na Samwel Mbugi Baraza la madiwani la manispaa ya Mpanda mkoani Katavi limempitisha diwani wa kata ya Magamba Charles Philipo…
27 November 2025, 4:28 pm
Msako wa vijana ambao wanakaa kwenye vijiwe vya Bodaboda bila kazi kuanza Manispaa ya Geita Mkoani Geita Na Kale Chongela: Umoja wa waendesha Bodaboda Mkoa wa Geita umepiga marufuku baadhi ya waendesha pikipiki ambao kwasasa hawana vyombo hivyo kukaa kwenye…
6 October 2025, 1:58 pm
Vijana hao wameeleza kuwa hawatashiriki katika vurugu, maandamano yasiyo ya lazima au propaganda za kisiasa. Na Mrisho Sadick: Vijana kutoka makundi mbalimbali ikiwemo vyuo na shule za sekondari katika Manispaa ya Geita Mkoani Geita wamesema wako tayari kushiriki kikamilifu katika…
30 September 2025, 12:12 pm
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) yasema wanaomiliki nyara kama pembe, na mikia ya wanyamapori bila vibali , ni kinyume na sheria za uhifadhi . Na Catherine Msafiri, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imewataka wananchi kuhakikisha wanamiliki…
28 September 2025, 2:40 pm
Siku ya Kichaa cha Mbwa Duniani imeadhimishwa leo kitaifa wilayani Kiteto mkoani Manyara ambapo jamii imetakiwa kuwatunza mbwa na kuwapatia chakula cha kutosha ili kudhibiti tatizo la mbwa kuzurura. Na Mzidalfa Zaid Akizungumza na FM Manyara Daktari wa mifugo halmashauri…
18 August 2025, 8:14 pm
Malengo mahususi ya mradi huo ni kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia fursa mbalimbali zitokanazo na Bomba la mafuta ghafi. Na Mrisho Sadick: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt Doto Biteko amezindua rasmi mradi wa kuwawezesha vijana kujikwamua kiuchumi kwenye…
16 July 2025, 6:14 pm
Msikilizaji na mdau wa Storm FM Sauti ya Geita karibu kusikiliza Makala ya Tafakari Pevu inayoangazia madhara ya vijana kutumika vibaya kwenye siasa kuelekea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Makala hii imeandaliwa na timu nzima ya Storm FM
27 April 2025, 13:15
Kanisa la Mungu linapaswa kuwa na mazingira Mazuri ya kumwabudia Mungu kwani kufanya hivyo kunafanya kazi yake isongee mbele. Na Mboka Mjafula Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi ushirika wa Saza wilaya ya Songwe mkoani Songwe unaongozwa na…
31 March 2025, 3:01 pm
Vijana wameamua kutumia fursa zilizopo kijiji kwao kupambana na changamoto ya ajira Na Edga Rwenduru – Geita Vijana Taasisi ya TK Movement wasiyokuwa na ajira katika kijiji cha Nyanguku Manispaa ya Geita mkoani Geita wameanzisha miradi ya ufugaji wa Mbuzi,kuku…
28 May 2021, 1:34 pm
Na; Victor Chigwada. Baadhi ya Shule katika Kata ya Mpalanga Wilayani Bahi zinakabiliwa na upungufu wa vyumba vya madarasa hali inayokwamisha maendeleo ya wanafunzi darasani. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi hao wamesema walianzisha ujenzi wa vyumba vya…