Storm FM
Storm FM
September 21, 2025, 8:40 am
Ikiwa ni utekelezaji wa agizo la serikali la matumizi ya nishati safi Na Stephano Simbeye KIKOSI cha Jeshi la kujenga Taifa (JKT) 845KJ Itaka wilaya ya Mbozi mkoani Songwe kimeanza kufundisha jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala kwa kutumia taka za shambani.…
2 September 2025, 6:58 pm
Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania imekuwa ikitoa taarifa utabiri wa hali ya hewa uliopimwa kwa njia za kisayansi kisha kusambazwa kwa wananchi katika maeneo husika. Hata hivyo katika jamii za wakulima na wafugaji na wavuvi wilayani Pangani, wapo wagunduzi…
1 September 2025, 5:53 pm
“Kwakweli tunaomba polisi wafuatilie tukio hili ili kukomesha watu wenye roho za kikatili na kinyama kiasi hiki, huyu mtoto huwezi jua angekuwa nani baadaye” – Mwananchi Na: Edga Rwenduru: Mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na siku moja amekutwa amechomwa moto na…
30 August 2025, 10:30 am
Kabla ya kituo hicho kujengwa wananchi walikuwa wakijichukulia sheria mkononi jambo ambalo kwa sasa halikubaliki. Na Godefrey Mengele Wananchi wa kijiji cha Tanangozi kata ya Mseke halmashauri ya wilaya ya Iringa wametakiwa kutumia kituo kipya cha polisi kuripoti matukio ya…
20 August 2025, 4:16 pm
Mradi wa CADIR ni wa miaka mitano, kuanzia mwaka 2025 hadi 2029, na unafadhiliwa na Umoja wa Watu Wenye Ulemavu wa Norway (NAD), ukiwa na thamani ya Shilingi Bilioni 20 za Kitanzania. Mradi huu utatekelezwa katika mikoa mbalimbali ya Tanzania…
17 August 2025, 1:48 pm
Mradi CADiR unaratibiwa na Norwegian Association of Disabled (NAD) kama taasisi kiongozi, ukihusisha mashirika ya Norway.Mradi huo unatarajiwa kuzinduziliwa rasmi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman, tarehe 20 Agosti 2025 katika…
11 July 2025, 4:04 pm
Nchi ambazo zimesaini Mkataba wa Afrika Kuhusu Haki za Watu Wenye Ulemavu (African Disability Protocol, ADP),ambao umeanza kutumika rasmi tangu Mei 2024 ni Angola, Burundi,Cameroon, Congo Brazzaville, Kenya, Mali, Malawi, Msumbiji, Namibia, Niger, Nigeria, Rwanda, Afrika Kusini, Uganda, na Zimbambwe.…
8 June 2025, 7:08 pm
‘Sisi tuna uzoefu wa minada ya korosho hapa Tanga lakini baadae korosho zikawa zinatoroshwa kwenda nje ya mkoa wetu, ni kwa sababu tulifanya mnada mara moja haukuendelea.’ Na Cosmas Clement Mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Dkt Batilda Buriani leo…
19 May 2025, 5:30 pm
‘Amewaasa wananchi kuachana na matumizi ya earphone ili kuepukana na changamoto za uchovu wa masikio,maumivu ya kichwa.‘ NA Rhoda Elias -Katavi Baadhi ya wananchi manispaa ya Mpanda mkaoni Katavi wameiomba serikali kutoa elimu zaidi juu ya madhara yanayoweza kutokana na…
14 May 2025, 8:11 pm
Jukwaa la maendeleo ya vyama vya ushirika mkoa wa Manyara limefanyika leo, ambapo mkuu wa mkoa wa Manyara Qqueen Sendiga, amewataka wananchi kujiunga na vyama vya ushirika ili kunufaika na fursa zinazopatikana ndani ya vyama hivyo. Na Mzidalfa Zaid Mkuu…