Storm FM

jamii

10 May 2024, 5:18 pm

Viboko, mamba tishio kwa wakazi wa Geita DC

Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Geita limeketi  Mei 8-9, 2024 katika kikao chake cha kawaida kwaajili ya kuwasilisha taarifa za utekelezaji wa shughuli za serikali ngazi ya kata kwa kipindi cha januari hadi machi 202 ambapo jumla ya…

13 April 2024, 3:12 pm

Wajasiriamali wa soko la Lukilini kujengewa vizimba 50

Wafanyabiashara walio wengi hasa wale walioko katika maeneo ya vijijini au nje ya miji hukabiliwa na changamoto ya miundombinu duni ya kufanyia biashara zao Na Kale Chongela – Geita Baadhi ya wajasiriamali waliopo soko la Lukilini Mtaa wa Mkoani Kata…

13 April 2024, 2:35 am

Wananchi washirikiana kuziba chanzo cha mafuriko

Uduni wa miundombinu ya barabara imekuwa ikichangia athari mbalimbali ambazo zimekuwa zikisababishwa na mvua inayoendelea kunyesha mkoani Geita Na Kale Chongela – Geita Baada ya mafuriko kuikumba mitaa mbalimbali ya mkoa geita kutokana na mvua iliyonyesha siku ya April 7,…

8 April 2024, 9:59 pm

Ubovu wa barabara wakwamisha huduma za kijamii Songambele

14 Kambarage ni miongoni mwa maeneo ambayo yanaendelea kushuhudia athari za mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo tofautitofauti ya mkoa wa Geita na nchi nzima kwa ujumla. Na kale Chongela Wakazi wa Songambele mtaa wa 14 Kambarage kata ya Buhalahala mjini…

5 April 2024, 5:04 pm

Watoto wajengwe katika misingi ya imani

Mwezi mtukufu wa ramadhani umekuwa chachu ya kujenga jamii katika nyanja mbalimbali ikiwemo amani ,umoja na mshikamano. Na Mrisho Sadick – Geita Wanawake Mkoani Geita wametakiwa kutumia kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani kuwajenga watoto wao katika misingi ya kiimani ili…

3 April 2024, 2:42 pm

Alietaka kujinyonga afikishwa ofisi ya mtaa

Matukio ya watu kujichukulia sheria mkononi yanaendelea kujitokeza katika maeneo mbalimbali kwasasa imefikia hatua ya baadhi ya watu kutaka kujitoa uhai kwasababu ambazo zinaweza kupata majibu. Na Kale Chongela – Geita Mwanamke Rejina Jumanne Mkazi wa mtaa wa Mpomvu kata…