elimu
6 September 2024, 4:32 pm
Walimu wa MEMKWA Geita waomba vifaa
Serikali imeendelea kutoa fursa za watoto pamoja na watu wazima kujiendeleza kimasomo kupitia mipango ya MEMKWA, SEQUIP na MUKEJA ili kuweza kuwasaidia kupata ujuzi. Na: Edga Rwenduru – Geita Walimu wanaofundisha elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo…
3 September 2024, 11:31 am
Wazee mkoani Katavi walia na vilipuzi
“Milipuko inayolipuliwa katika uwanja huo imeleta wasiwasi katika jamii na kupelekea baadhi ya wananchi kupata mshtuko wa moyo.” Na Samwel Mbugi -Katavi Baadhi ya wazee kata ya Makanyagio Manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi wamemwomba Kamanda wa Jeshi la Polisi…
2 September 2024, 1:58 pm
Wakulima wa Alizeti Geita mjini wapigwa msasa
Safina ya idara ya vijana imeendelea kutoa mafunzo na elimu kwa makundi mbalimbali ya watu ili kuwasaidia kujikwamua katika shughuli zao za kiuchumi. Na: Kale Chongela – Geita Ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Geita kwa kushirikiana na…
28 August 2024, 8:29 pm
Vijana wajasiriamali Mutukula wajengewa jengo la biashara
Vijana wajasiriamali katika kata ya Mutukula wilayani Missenyi mkoani Kagera wamenufaika na fedha za mapato ya ndani kupitia halmashauri kwa kujengewa jengo maalum la kibiashara kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi Na Respicius John Kamati ya fedha utawala na mipango ya…
26 August 2024, 3:02 pm
Wadau Geita wapongeza mfumo mpya wa NECTA
Wanafunzi wa darasa la 7 kote nchini wanatarajia kuanza kufanya mtihani wa taifa wa kuhitimu elimu hiyo septemba 11 na 12 mwaka huu. Na: Ester Mabula – Geita Mkurugenzi wa shule ya awali na msingi Kadama Bi. Leticia Pastory amesema…
14 August 2024, 13:58
Ziwa Tanganyika kufunguliwa rasmi Agosti 15
Serikali iliamua kuchukua uamzi wa kufunga Ziwa Tanganyika na shughuli za uvuvi ili kupisha mazalia ya samaki kuongezeka kutokana na kwamba uvuvi haramu umekuwa ukiathiri ukuaji wa samaki ambao wanavuliwa kiharamu. Na Lucas Hoha – Kigoma Wakati shughuli za uvuvi…
12 August 2024, 4:42 pm
GGML yafadhili mafunzo kukabiliana na majanga ya moto
Jumla ya watumishi 78 kutoka halmashauri ya mji wa Geita wamepewa mafunzo ya namna ya kukabiliana na majanga ya moto. Na: Ester Mabula – Geita Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya GGML iliyopo mkoani Geita, kwa kushirikiana na Jeshi…
26 July 2024, 9:19 pm
Mwenyekiti ALAT Taifa ahimiza usimamizi wa miradi ya maendeleo
Kamati tendaji ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ALAT wamekutana wiki hii kujadiliana juu ya mambo mbalimbali ikiwemo kutoa maelekezo kwa mamlaka za serikali za mitaa juu ya usimamizi wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao Na mwandishi wetu…
13 July 2024, 1:10 pm
Afisa elimu sekondari mjini Geita atoa wito kwa wazazi
Halmashauri ya Mji wa Geita yenye wanafunzi 25,155 ina shule za sekondari 16 ikiwa ni ongezeko la shule mpya 16 kutoka shule 10 zilizokuwepo mwaka 2019. Na: Kale Chongela – Geita Wazazi na walezi halmashauri ya mji wa Geita wametakiwa…
3 July 2024, 3:09 pm
Mitambo: Si kila mwenye cheti cha udereva ni dereva
Kuwa na cheti cha udereva kutoka veta au shule ya udereva siyo kigezo cha kuwa dereva Na adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa si kila mwenye cheti cha kuhitimu mafunzo ya udereva kutoka chuo cha VETA au shule yoyote ya udereva anakuwa…