Sibuka FM

Takukuru

2 December 2025, 4:24 pm

Watu 2 kati ya 100 Bunda DC wameambukizwa VVU

Wataalamu wa afya wanaendelea kutekeleza afua mbalimbali kwenye jamii ikiwemo kutoa elimu juu ya watu kujikinga na maambukizi mapya ya vvu, kuhamasisha wananchi kupima na kujua afya zao, kuendelea kuhamasisha waliogundulika kuwa na maambukizi kutumia dawa kwa usahihi ili kufubaza…

20 November 2025, 7:55 pm

TMDA: Ukipewa dozi ya dawa maliza kuepuka UVIDA

Usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa UVIDA una athari nyingi ambapo ni pamoja na gharama kubwa ya matibabu, hatari ya ugonjwa wa figo n.k Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa jamii kuhakikisha wanamaliza dozi za dawa wanazokuwa wamepewa…

14 November 2025, 1:00 pm

Wagonjwa wapya wa shinikizo la damu wabainika

Dr. Victor Christopher hospitari ya rufaa ya kumbukumbu ya mwalimu Nyerere inapokea wagonjwa wengi wapya kwa mwezi takribani 2500 hadi 3000. Na Catherine Msafiri, Imeelezwa kuwa uzito mkubwa, unywaji wa pombe kupita kiasi, ulaji wa chumvi nyingi vyatajwa kuwa miongoni…

13 October 2025, 11:38 am

ACT Wazalendo Kyaka wahimiza amani wakati wa uchaguzi mkuu

Wananchi wa kata ya Kyaka wilayani Misseyi mkoa wa Kagera wametakiwa kudumisha amani ili kulisaidia jeshi la polisi kulinda raia na mali zao hasa wakati huu taifa linapojiandaa na uchaguzi mkuu Na Theophilida Felician Kagera. Chama cha ACT WAZALENDO jimbo…

10 October 2025, 12:23 pm

Jamii yaaswa kuepuka matumizi holela ya dawa za macho

Dkt. Charles ameonya tabia ya kutumia dawa za macho za maji bila ushauri wa kitaalamu,ataja madhara yanayoweza kutokea kama presha ya macho. Na Catherine Msafiri Katika jitihada za kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa kutunza afya ya macho, Daktari Bingwa wa…

10 October 2025, 6:43 am

Polisi Katavi wapambana na vitendo vya ukatili kwa watoto

“Lengo ni kuwapenda watoto na kuwajali katika Bwana” Na John Benjamin Jamii mkoani Katavi imesisitizwa kutambua haki za watoto na kuhakikisha kuwa wanalelewa katika mazingira salama yenye heshima na upendo Hayo yamebainishwa na mrakibu na Afisa wa jeshi la polisi…

9 October 2025, 12:06 pm

Ukatili wa kijinsia chanzo tatizo la afya ya akili Mara

Bw.Paul Nesphori mtaalamu wa saikolojia na ujasiri Kutoka hospitali ya rufaa ya kumbukumbu ya mwalimu Nyerere aeleza ukatili wa kijinsia ni chanzo cha matatizo ya afya ya akili katika mkoa wa Mara. Na Catherine Msafiri, Ikiwa kesho Dunia ainaadhimisha siku…

5 October 2025, 7:36 pm

Mgombea udiwani ACT Wazalendo aahidi zahanati Mabale-Missenyi

Kati ya changamoto zilizoko katika kata ya Mabale, Mgombea udiwani ameshtushwa na hali ya kituo kilichojengwa kwa miti na kukandikwa kwa udongo kutumika kama zahanati ya kijiji cha Kibeo wilaya ya Missenyi mkoani Kagera Na Theophilida Felician, Bukoba. Mgombea udiwani…

3 October 2025, 6:41 pm

CHAUMMA waahidi mazingira bora soko la Kashai

Mgombea udiwani anayedai kusukumwa na uchakavu wa miundombinu ya soko la Kashai na kwamba anaweza kutatua changamoto hizo kwa kuwa naye ni mhanga. Na Theophilida Felician, Bukoba Mgombea udiwani kata ya Kashai manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kupitia chama cha…

2 October 2025, 5:27 pm

Mbukwa: Msijichukulie sheria mkononi kwa kutatua tatizo

Judith Mbukwa mkuu wa dawati la jinsia na watoto Katavi. Picha na Roda Elias “Ripotini vitendo vya ukatili ili jamii iwe salama” Na Roda Elias Jamii mkoani Katavi imetakiwa kuondokana na dhana ya kuogopa vituo vya polisi hususani dawati la…

30 September 2025, 1:28 pm

Rorya kinara wagonjwa wa selimundu Mara

Halmashauri ya wilaya ya Rorya kinara tatizo la ugonjwa wa selimundu (Sickle cell) kwa asilimia kubwa ikiwa na wagonjwa 1500 kati ya wagonjwa 5037 kwa mkoa wa Mara. Na Catherine Msafiri Imeelezwa kuwa Halmashauri ya wilaya ya Rorya ndio kinara…

29 September 2025, 1:27 pm

Uelewa wa jamii kuhusu uzazi wa mpango

Sikiliza makala haya maalumu kuhusu uelewa wa jamii kuhusu uzazi wa mpango hatua ya kujenga jamii na uchumi. Na Dinnah Shambe Katika jamii nyingi, suala la uzazi wa mpango limeendelea kuwa jambo lenye mjadala mkubwa, hasa kutokana na mitazamo tofauti…

19 September 2025, 12:56 pm

ACT Wazalendo yaahidi barabara na zahanati kata ya Mabale

Uwepo wa changamoto katika kata mbalimbali katika jimbo la uchaguzi Missenyi mkoani Kagera imekuwa fursa ya wagombea kujinadi wakati wa kampeni za uchaguzi wakiahidi kutatua changamoto hizo endapo watachaguliwa kwa nafasi wanazosigombea Na Theophilida Felician, Missenyi, Kagera. Mhandisi Sweetbert Kaizilege…