Radio Kwizera
Radio Kwizera
April 20, 2021, 5:57 pm
Na; Phillemon Golkanus Serikali ya Mkoani Kigoma imezindua mpango wa dharura wa miaka mitatu unaolenga kukabiliana na vifo vya wajawazito na watoto wachanga vilivyoongezeka hadi asilimia 95 katika vituo vya afya Mganga mkuu wa mkoa wa Kigoma Dr Simon Chacha…
April 19, 2021, 6:48 pm
Na; Seif Upupu April 8, 2021 Mwanamuziki Mkongwe wa nyimbo za Dansi nchini, Prince Mwinjuma Muumini, Mwana Buguza, Roboti, Kocha wa Dunia aliachia Rekodi yake mpya ya miondoko ya Singeli inayokwenda kwa jina la Kwa Mpalange iliyoibua gumzo kwenye mitandao…
April 9, 2021, 5:46 pm
Na; Seif Upupu Serikali imetakiwa kuendelea kuboresha sekta ya Kilimo hususani kilimo cha Alizeti na Michikichi ili kukabiliana na tatizo la upungufu wa mafuta ya kupikia Kauli hiyo imetolewa leo na Mbunge wa Jimbo la Ngara Bw Ndaisaba George Ruhoro…
April 9, 2021, 12:58 pm
Na; Anord Kailembo Wafanyabiashara 15 katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wamekamatwa na Idara ya Afya na Mazingira baada ya kukutwa na mifuko ya Plasitiki inayozuiliwa na Serikali. Afisa Mazingira wa Manispaa ya Bukoba Bw Tambuko Joseph amesema wafanyabiashara hao…
April 9, 2021, 12:33 pm
Na; Anord Kailembo Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Kagera inamshikilia mkufunzi wa chuo cha kilimo Maruku kwenye Manispaa ya Bukoba kwa tuhuma za Rushwa ya Ngono Mkuu wa Takukuru mkoani Kagera Bw John Joseph amemtaja mkufunzi…
April 8, 2021, 5:35 pm
Na; Seif Upupu Jumla ya Sh Milioni 419.8 zimetengwa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Elimu kwa shule za Msingi na Sekondari kwenye Jimbo la Ngara mkoani Kagera Mbunge wa Jimbo la Ngara Bw Ndaisaba George Ruhoro…
April 2, 2021, 12:28 pm
Na; Felix Baitu. Zaidi ya Ekari 5 za mazao mbalimbali kwenye kijiji cha Lwakaremela kata ya Kasulo wilayani Ngara mkoani Kagera zimeharibiwa na Tembo waliovamia kijiji hicho wakitokea katika hifadhi ya wanyapori ya Burigi Chato Wakazi wa kijiji hicho wamesema…
March 31, 2021, 8:58 pm
Na; Shafiru Asumani Baadhi ya wazee wa Kijiji Cha Kyamworwa kata ya Kasharunga Wilayani Muleba Mkoani Kagera wamelalamikia kitendo cha kutoshirikishwa kwenye vikao vya maendeleo ya vijiji na kata ambavyo vinaweza kuwasilisha kero mbalimbali zinazowakabili.Wazee hao wamesema hayo kwenye mkutano…
March 30, 2021, 6:47 pm
Na; Phillemon Golkanus Wafanyabiashara mkoani Kigoma wamesema wana imani kubwa na Makamu wa Rais Mteule Dr Phillip Mpango hata kabla ya kuteuliwa katika wadhifa huo mpya Wafanyabiashara hao wamesema Dr Mpango ni kiongozi mwenye maono na mipango mikubwa ya kukuza…
March 30, 2021, 5:48 pm
Na; William Mpanju Mwanafunzi Samson Nditiye wa Darasa la 7 katika shule ya msingi Nyakanazi wilayani Biharamulo mkoani Kagera amefariki baada ya kuangukiwa na ukuta akifanya mazoezi ya kwaya huku wengine 6 wakijeruhiwa kufuatia mvua iliyoambatana na upepo mkali Afisa…
Radio Kwizera is a regional community radio established in 1995 by the Jesuit Refugee Services (JRS) in collaboration with the United Nations High Commission for Refugees (UNHCR) and a catholic diocese of Rulenge-Ngara. It was created as a podium for the exchange of the information among the refugees, the organizations and Governments working with them. Radio Kwizera was established under the vision of Peace and Development (To lead a peaceful and prosperous life) and the mission to seek and restore hope and socio- conomic prosperity in northwestern Tanzania and its environs that host refugees from Great Lakes Region of Africa. Through peace, reconciliation, education, and development programs, Radio Kwizera will empower its audience with values, knowledge, and skills they need to lead a peaceful nd prosperous life.