Radio Kwizera
Radio Kwizera
June 19, 2025, 12:55 pm
Wasira amesema baadhi ya watia nia ya nafasi za ubunge hutumia fedha kuwahonga wajumbe na kwamba chama hicho hakipo tayari kupitisha wagombea wanaotanguliza fedha. Na Elias Zephania- Chato, Geita Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania bara Stephen Wasira…
June 16, 2025, 7:17 pm
Serikali mkoani Geita imeelekeza kuwachunguza watumishi wa Umma waliobainika kuwa na utata wa tarehe za kuzaliwa katika vyeti vyao. Na Elias Zephania- Geita Jumla ya watumishi wa umma 172 katika halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita wamebainika kuwa na…
June 14, 2025, 10:09 am
Shule ya msingi Mtakuja kata ya Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita ina wanafunzi wapatao elfu 1 lakini vyumba vya madarasa havitoshi kulingana na idadi ya wanafunzi. Na Samwel Masunzu- Geita Wanafunzi wa darasa la tano na la sita katika shule…
September 30, 2023, 8:18 pm
Mradi huo wa umeme uliopo Rusumo mpakani mwa Tanzania na Rwanda utazinufaisha nchi tatu za Tanzania, Rwanda na Burundi. Na, Laurent Gervas Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Mashaka Biteko amesema mradi wa kufua umeme wa maporomoko…
September 29, 2023, 9:39 pm
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dr.Dotto Mashaka Biteko amemtaka Waziri wa Maji Juma Aweso kufanya ziara katika kata ya Murusagamba wilayani Ngara ili kutatua changamoto ya maji kwa wananchi hao. Na, Marco Pastory: Naibu Waziri Mkuu na Waziri…
September 21, 2023, 1:50 pm
Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakikubaliani na matokeo ya Ubunge yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kutangazwa na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbarali Ndugu Missana K. Kwangura Septemba20,2023. Na Laurent Gervas: Chama cha ACT Wazalendo chapinga…
September 21, 2023, 1:13 pm
Katibu tawala wa Wilaya ya Ngara Bw. Jawadu Yusufu aliyemwakilisha Mkuu wa wilaya ya Ngara kuzindua zoezi la kutoa chanjo ya Polio kwa watoto katika hospitali ya Nyamiaga. Idara ya afya Wilayani Ngara Mkoani Kagera leo imezindua zoezi la utoaji…
July 4, 2023, 2:54 pm
July 4, 2023, 11:37 am
Waandishi wa habari nchini Tanzania wametakiwa kuzipa nguvu habari zinazopatikana katika jamii inayowazunguka ili kuleta mabadiliko chanya kimaendeleo kwa Watanzania Na; Pascal Mwalyenga Waandishi wa habari nchini Tanzania wametakiwa kuzipa nguvu habari zinazopatikana katika jamii inayowazunguka ili kuleta mabadiliko chanya…
July 3, 2023, 12:43 pm
Mkurugenzi idara ya huduma kwa wakimbizi nchini Tanzania Bw. Suddy Mwakibisa amesema serikali ya Tanzania imepokea waomba hifadhi 11,049 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Mei 30 2023. Na; Amina Semagogwa Serikali ya Tanzania …
Radio Kwizera is a regional community radio established in 1995 by the Jesuit Refugee Services (JRS) in collaboration with the United Nations High Commission for Refugees (UNHCR) and a catholic diocese of Rulenge-Ngara. It was created as a podium for the exchange of the information among the refugees, the organizations and Governments working with them. Radio Kwizera was established under the vision of Peace and Development (To lead a peaceful and prosperous life) and the mission to seek and restore hope and socio- conomic prosperity in northwestern Tanzania and its environs that host refugees from Great Lakes Region of Africa. Through peace, reconciliation, education, and development programs, Radio Kwizera will empower its audience with values, knowledge, and skills they need to lead a peaceful nd prosperous life.