Pangani FM

UZIKWASA

28 November 2025, 15:31

Viongozi wa dini walia na vitendo vya ukatili Kigoma

Wakati tukiwa ndani ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia na elimu ikiendelea kutolewa katika maeneo mbalimbali na makundi mbalimbali hasa watoto na wanawake, serikali imetakiwa kuweka sheria kali dhidi ya watuhusu wa matukio ya ukatili Na Sadick Kibwana…

25 November 2025, 17:08

Wanamabadiliko wa kupinga ukatili wapewa baiskeli 100 Kasulu

Katika kukabiliana na vitendo vya ukatili kwenye jamii, wanamabadiliko wa masuala ya ukatili wa kijinsia wamepewa baiskeli ili waweze kuwafikia wahanga wa vitendo hivyo. Na Hagai Ruyagila Shirika la Kivulini kwa kushirikiana na shirika la Plan International chini ya ufadhili…

18 November 2025, 13:04

Vijana walia na vitendo vya ukatili Kigoma

Vitendo vya ukatili kwa vijana ni tabia au matendo yanayowadhuru kimwili, kihisia, kijinsia, au kijamii na ukatili huu unaweza kufanywa na watu wazima, wenzao, au hata mamlaka. Na Sadick Kibwana Vijana katika Manispaa ya Kigoma Ujiji wameiomba Serikali kuendelea kutoa…

22 October 2025, 8:47 pm

Wananchi andamaneni kupiga kura sio kuvunja amani Kigoma

“Wananchi acheni kudanganyana kuandamana bila sababu za msingi bali mnatakiwa muandamane kwenda kupiga kura na kuwachagua viongozi sahihi.“ Na Theresia Damasi Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa kigoma Kamishna msaidizi mwandamizi Emmanuel Filemon Makungu amewataka wananchi wa mkoa wa…

14 October 2025, 8:26 pm

Mama wadogo Ifakara wapata ujuzi stadi za maisha

Wasichana hao waliozalishwa katika umri mdogo na kutelekezwa walifikiwa na Shirika la EDO na kupatiwa mafunzo ya ujuzi wa ushonaji na kilimo cha bustani ya mbogamboga na matunda hivyo kuwasaidia kujitegemea wao na familia zao. Na Nicolatha Mpaka Wakina mama…

10 October 2025, 12:32

RC Kigoma ataka wananchi kutoa ushahidi vitendo vya ukatili Kasulu

Serikali imesema kuwa itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo katika kutoa elimu na hamasa kwa wananchi ili waweze kushiriki katika mikakati ya kutokomeza vitendo vya ukatili kwenye jamii. Na Mwandishi wetu Wananchi Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwa tayari…

23 September 2025, 8:00 pm

Madaktari Bingwa kutoa huduma za kibingwa iringa

Na Adelphina Kutika Madaktari bingwa wapatao 45 kupitia mpango wa Rais Samia Suluhu Hassan wamewasili katika Mkoa wa Iringa kwa lengo la kutoa huduma za kibingwa kwa wananchi ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakilazimika kusafiri nje ya mkoa iringa  kufuata…

September 23, 2025, 7:03 pm

Zoezi maalum la kuvalisha tembo mikanda ya GPS laanza Mkomazi

Taasisi ya utafiti wa wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori Tanzania (TAWA) na Mamlaka ya hifadhi za Taifa (TANAPA), imeanza zoezi maalum la kuvalisha tembo mikanda ya mawasiliano katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi, mkoani…