Pangani FM

Pangani

16 December 2025, 11:03 am

Vitamin A, dawa za minyoo zatolewa Kilosa

Mwezi wa Afya na Lishe ni kampeni ya kitaifa inayofanyika kila mwaka kuanzia Desemba 1 hadi 31, yenye lengo la kuboresha afya ya mama na mtoto kwa kutoa huduma muhimu za lishe katika vituo vya kutolea huduma za afyana huduma…

12 December 2025, 8:16 pm

Umuhimu wa klinik ya mtoto wakati wote

picha kwa msaada wa AI Na mwandishi wetu Evanda Barnaba Kuhudhuria maadhurio ya kliniki ya mtoto ni jambo la muhimu sana kwa mzazi, kwani ni fursa ya kipekee ya kufuatilia maendeleo ya afya ya mtoto wako. Kliniki inatoa nafasi ya…

December 3, 2025, 5:07 pm

Waapa kukusanya mapato na kusimamia miradi ya maendeleo

Madiwani wa Kata mbalimbali katika Halmashauri ya Mji Kasulu wameahidi kusimamia miradi yote ya maendeleo pamoja na kusimamia ukasanyaji wa mapato katika Halmashauri hiyo ili kuiwezesha serikali kujitegemea kupitia mapato ya ndani. Na; Sharifat Shinji Madiwani wateule katika Halmashauri ya…

24 November 2025, 2:15 pm

Usugu wa vimelea dhidi ya dawa chanzo cha vifo mil. 1 duniani

Matumizi holela ya dawa yanatajwa kuwa moja kati ya sababu zinaochangia usugu wa vimelea dhidi ya dawa ambayo husababisha vifo vya watu millioni 1.1 kila mwaka duniani. Na Sabina Martin Jamii nchini imetakiwa kutumia dawa kwa kuzingatia maelekezo yadaktari ili…

24 November 2025, 1:26 pm

Habari za uongo,kikwazo kwa biashara Kilosa

Habari za uongo zimekuwa kikwazo kikubwa katika maendeleo ya biashara, hasa katika jamii zinazotegemea taarifa sahihi kufanya maamuzi ya ununuzi na uuzaji. Na Aloycia Mhina Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Wilaya ya Kilosa, Ndugu Joshua Chaluza Mbarikiwa, ametoa wito kwa wafanyabiashara na…

24 October 2025, 6:16 pm

Habari za uongo kikwazo kipindi cha uchaguzi

Kuelekea uchaguzi mkuu, kumekuwa na ongezeko la habari za uongo na uzushi zinazosambazwa hasa kupitia mitandao ya kijamii. Habari hizi huwalenga wagombea, vyama vya siasa na taasisi mbalimbali kwa lengo la kupotosha umma, kuchafua sifa za watu au kuvuruga amani.…

18 October 2025, 9:12 pm

Serikali ya ADA TADEA migodi yote kumilikiwa na wazawa

Hatua hiyo inalenga kurejesha mamlaka ya kiuchumi mikononi mwa wananchi na kuhakikisha rasilimali za taifa zinawanufaisha Watanzania wengi badala ya wachache. Na Mrisho Sadick: Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ADA TADEA, Georges Busungu, amesema…

October 17, 2025, 5:40 pm

NCCR Mageuzi yaomba maandamano yasifanyike siku ya uchaguzi

“NCCR Mageuzi hatuko tayari kuona uchaguzi unaingiliwa au kuvurugwa na wahuni kwa mwavuli wa Maandano kwa sababu hii chama kinawaagiza wagombea wake, viongozi, wanachama, mashabiki na marafiki zetu kwenda kupiga kura” Amesema ndg Faustine. Na; Irene Charles Mkuu wa idara…

October 16, 2025, 8:02 am

TAKUKURU Yagusa Uhai wa Watoto Njiti Songwe

Kwa ajili ya watoto  wachanga wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) Na Ezekiel Mwinuka Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU nchini Crispin Chalamila amekabidhi vifaa hivyo leo na kwamba vimenunuliwa kwa michango ya watumishi nchini wa Takukuru nchini kwa lengo la kuunga juhudi…

15 October 2025, 3:07 pm

AAFP yasema daktari akizuia maiti anawekwa kwenye jeneza yeye

Ngombalemwiru ameeleza kuwa serikali atakayoiunda itaweka mfumo rafiki wa huduma za afya utakaolenga utu na heshima ya binadamu. Na Mrisho Sadick: Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Wakulima Tanzania (AAFP) Kunje Ngombalemwiru ameahidi kuondoa kabisa…