Pangani FM

HABARI ZA PANGANI

3 August 2021, 8:59 pm

Uelewa mdogo wa matumizi ya Barakoa Pangani.

Wauzaji wa barakoa Wilayani Pangani Mkoani Tanga wameeleza namna wanavyowaelimisha wananchi juu ya matumizi sahihi ya barakoa. Wakizungumza na Pangani FM kwa nyakati tofauti wauzaji wao licha ya kueleza umuhimu wa kuvaa barakoa wametaja kile walichokiita ni uelewa mdogo kwa…

20 July 2021, 8:06 pm

Mmoja ashukiwa kufariki kwa Corona Pangani

Hospitali ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga imethibitisha kifo cha mtu mmoja kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona ambavyo vimeripotiwa kuwa katika wimbi la tatu hivi sasa (DELTA). Hayo yamesemwa na Mganga Mfawidhi katika Hospitali ya…

14 July 2021, 11:07 pm

MTAKUWWA kijiji cha Sange yawashika mkono wanafunzi.

Kamati ya MTAKUWWA ya Kijiji cha Sange Wilayani Pangani Mkoani Tanga kwa kushirikiana baadhi ya wadau wa elimu wametoa vyakula kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi Sange na Makorora kusaidia maendeleo ya elimu. Mwanahabari wetu Rajabu Mustapha amefika…

29 June 2021, 12:28 pm

MIA za Rais Samia Pangani-Wazee

Baadhi ya wazee Wilayani Pangani Mkoani Tanga wameuzungumzia Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan tangu aingie Madarakani, huku wakieleza kufurahishwa na uongozi wake alio uonyesha kwa Siku 100 tangu aapishwe kuiongoza Nchi hii. Wakizungumza na Pangani fm, wazee hao wamesema…

29 June 2021, 12:26 pm

MIA za Rais Samia Pangani-Umeme

Shirika la Umeme TANESCO Wilayani Pangani Mkoani Tanga layaelezea Mafanikio yake katika kuwahudumia wananchi ndani ya Siku 100 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza na Pangani FM leo Meneja wa TANESCO Wilayani humo…

29 June 2021, 11:42 am

MIA za Rais Samia Pangani-Barabara

Wakala wa huduma za barabara mjini na vijijini TARURA Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kufikisha Siku 100 Madarakani tangu aapishwe kuwa Rais wa awamu ya Sita JMT TARURA Pangani…

23 June 2021, 7:27 pm

Machozi ya wajane katika jamii za wafugaji .

Wakati leo Juni 23, 2021 Tanzania ikiungana na Mataifa mbalimbali kuadhimisha Siku ya Wajane Duniani, Wanawake Wajane kutoka Jamii za kifugaji Wilayani Pangani Mkoani Tanga wanaeleza changamoto wanazokabiliana nazo katika maisha yao ya ujane. Mwanamke katika Jamii hizo sio tu…