Pambazuko FM Radio

Mazingira

30 May 2025, 7:20 pm

CCM waondoka kifua mbele Dodoma, tayari kwa ushindi

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Chama Cha Mapinduzi kimesema Wajumbe wake wa Mkutano Mkuu wa Taifa , wanaondoka katika Jiji la Dodoma huku wakiwa wamebeba matumaini ya kupata ushindi kuliko wakati wowote. Mamia ya Wajumbe hao toka Mikoa ya Tanzania Bara…

28 May 2025, 9:06 pm

Rushwa yatajwa kuwa chanzo viongozi wasiowajibika

Wajumbe wanaopokea rushwa kwa wagombea wamekuwa chanzo cha viongozi wasiowajibika kwa wananchi. Na Cleef Mlelwa Uwepo wa mifumo ya kisiasa ambayo inaamini katika kugawa vitu kwa wananchi badala ya kuwajengea uwezo utakao wasaidia kujiletea maendeleo na kujitegemea imetajwa kuwa ndio…

19 April 2025, 11:44 AM

Makala aijibu CHADEMA kuhusu makaa  ya  mawe

Katibu wa NEC, itikadi, uenezi na mafunzo CCM taifa,  CPA Amos Makala akihutubia wanachama na wananchi wilayani Masasi. Picha na Godbless Lucius Si kila   gari lililobeba  makaa  ya  mawe ni kwaajili  ya kusafirisha  kwenda  kuuza nje  ya nchi, kuna  viwanda …