Pambazuko FM Radio
Pambazuko FM Radio
5 August 2025, 13:21
Jeshi la Polisi kupitia Dawati la Jinsia na watoto wakishirikiana na idara ya maendeleo ya jamii Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma wamewataka wananchi kuacha matukio ya ukatili hasa ubakaji na ulawiti kwa watoto na wanawake na kuhakikisha wanaripoti matukio ya ukatili…
5 August 2025, 13:08
Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limethibitisha watu watatu wanaosadikiwa kuwa Majambazi kuuawa katika tukio la majibizano ya risasi katika jaribio la kutaka kuteka magari eneo la Kumshindwi Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma Filemon…
25 July 2025, 14:26
Polisi jamii ni nguzo muhimu katika mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili na kupitia ushirikiano wa karibu na jamii, elimu, na ufuatiliaji wa karibu, wanasaidia kupunguza ukatili na kukuza mazingira salama na yenye haki kwa wote. Na Josephine Kiravu Kufuatia…
25 July 2025, 12:44 pm
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Alli Ibrahimu Malinda (30), mkazi wa Kijiji cha Ng’apa, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 10. Hukumu hiyo…
July 24, 2025, 11:46 pm
Kijiji cha Igurwa kilichopo kata ya Igurwa wilayani Karagwe mkoani Kagera kimerejeshewa hekari 289 zilizokuwa limechukuliwa na mwananchi mmoja kwa njia isiyo halali. Na Anold Deogratias Mkuu wa Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera Julius Laizer ametatua mgogoro wa ardhi baina…
3 July 2025, 19:10
kufuatia uwepo wa gharama kubwa za matibabu ya macho mbunge wa vitimaalumu mkoa wa Mbeya mhandisi Maryprica Mahundi amelipiwa matibabu kwa mda maalumu ulio pangwa Na Josea Sinkala Katika kuboresha huduma za kiafya kwa wananchi, Naibu Waziri wa Mawasiliano na…
June 18, 2025, 5:25 pm
“Mipango ya ujenzi na miradi inayoendelea hii Makonda hakujanayo ni miradi ilikuwepo ili soko lilipaswa kujengwa na pesa ilitolewa toka 2021 shilingi millioni 500 pesa zimekaa kwenye akaunti”. Na Mariam Mallya Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ameongoza mamia…
June 11, 2025, 1:21 pm
Usimamizi wa fedha za mradi usipofuata taratibu baada ya mabazara ya madiwani kuvunjwa kutaibuka miradi mingi haitakamilika kwa wakati ukilinganisha na malengo ya serikali na kuibua hoja za mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG. Na:Denis Sinkonde Ileje.Mkuu wa Mkoa…
June 4, 2025, 3:09 pm
Wakazi wa mtaa ya Kigungani kata ya Mwilamvya katika Halmashauri ya Mji Kasulu waonywa kuhudhuria misibani wakiwa wamelewa na kuanzisha fujo na kutoa maneno machafu yanayoumiza kwa wafiwa na waombolezaji katika msiba. Na: Mbaraka Shaban Mwenyekiti wa kamati ya maafa…
2 June 2025, 4:10 pm
WANANCHI wa Kijiji cha Andikoni Shehia ya Chumbageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba wameiomba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwatengenezea barabara ili kuepukana na changamoto zinazo wakabili. Wakizungumza mbele ya Afisa Mdhamini wananchi hao wamesema wanakabiliwa na changomoto…