Pambazuko FM Radio

biashara

20 November 2025, 11:36 am

Watakiwa kumgeukia Mungu,badala ya kujitoa uhai

Kwa mujibu wa taarifa zilizokusanywa na Radio Sengerema hivi karibuni matukio ya watu kujiua yanaonesha kuongezeko kwa kasi katika wilayani Sengerema. Na.Emmanuel Twimanye Wananchi Wilayani Sengerema mkoani Mwanza, wametakiwa kuwa na hofu ya Mungu na kuacha kuchukua maamuzi ya kujiua…

19 November 2025, 4:50 pm

Mwili wa mwanamme waopolewa Bwawani mjini Sengerema

Matukio ya watu kujiua wilayani Sengerema yanazidi kuripotiwa, huku chanzo kikiwa bado hakijulikani Na.Said Mahera Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa majina ya Deusdetith Babila mkazi wa mtaa wa geita road kata ya nyatukala amekutwa amefariki dunia katika bwawa liliopo mtaa wa…

October 18, 2025, 10:15 pm

Sheria kali kudhibiti mmomonyoko wa maadili

Kufuatia kikao cha mkutano mkuu wa Kijiji cha Nambere kata ya sokoni 2 hapa mkoani Arusha kilichofanyika mwanzoni mwa mwezi huu, wananchi wa kijiji hicho wameazimia kuchukua hatua kali dhidi ya mmomonyoko wa maadili kwa vijana, kina mama pamoja na…

2 October 2025, 6:09 pm

Wazee Missenyi waiomba serikali kuwalipia vipimo na matibabu

Imekuwa desturi kwa wazee kote nchini kulalamikia uduni wa huduma za afya kila inapofika Oktoba mosi na kuiomba serikali kuwapa unafuu wa maisha kwa kuwapatia penseheni na matibabu bila malipo. Na Respicius John, Missenyi, Kagera Wazee wilayani Missenyi mkoani Kagera…

18 September 2025, 10:53 am

SIDO yawezesha wajasiriamali Ifakara

SIDO Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali imeendesha semina ya siku tatu kwa wajasiriamali, wawekezaji na wenye viwanda Ifakara, kwa lengo la kuwawezesha kupata ujuzi wa kukuza biashara na kuepuka migogoro ya kikodi na changamoto za usajili wa…

16 September 2025, 8:53 am

TRA Morogoro yatoa elimu kwa wafanyabiashara

TRA Mkoa wa Morogoro imetoa elimu kwa wafanyabiashara wa Ifakara kuhusu mabadiliko ya sheria za kodi na matumizi sahihi ya mashine za EFD, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhamasisha ulipaji wa kodi kwa hiari na kuongeza uelewa wa majukumu…

20 August 2025, 11:15 am

Wazazi wahimizwa kushirikiana katika malezi ya watoto

Malezi ni mchakato wa kumtunza, kumuelekeza, kumuongoza na kumuelimisha mtoto hadi anapofikia umri wa kujisimamia mwenyewe. Na Joyce Buganda Wazazi na walezi mkoani Iringa   wametakiwa kushirikiana kwa pamoja katika Malezi ya watoto ili kuwasaidia katika ukuaji wa maadili mema katika…

1 August 2025, 1:46 pm

Uvinza wahimizwa kuacha ukatili wa ulawiti, ubakaji

Jamii wilayani Uvinza imetakiwa kuacha matukio ya kikatili hasa ulawiti na ubakaji kwa watoto na wanawake ili jamii iwe salama huku wakitakiwa kujikita katika maendeleo. Na Theresia Damasi Jeshi la Polisi kupitia Dawati la Jinsia na Watoto wakishirikiana na Idara…