Nuru FM
Nuru FM
December 8, 2025, 5:33 pm
Na Amos Marwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Aswege Enock Kaminyoge, amewahakikishia wananchi usalama na kuwataka kwendelea na shughuli zao za kila siku kesho disemba 9 Kaminyoge ameyasema hayo baada ya mazungumzo…
December 4, 2025, 10:12 am
”Wananchi wamepunguza imani kwa serikali hivyo madiwani wenzangu twendeni tukachape kazi ili kurudisha imani ya wananchi kwa serikali yao iliyopo madarakani” Diwani wa kata ya Mcharo na mwenyekiti wa baraza la madiwani Bunda mji Masalo Minza Shani Na Amos Marwa…
14 November 2025, 4:23 pm
Wananchi hao wamesema ni muhimu watu kutoogopa kueleza changamoto wanazopitia ili kupata msaada mapema, badala ya kuamua kujifungia ndani na kuendelea kuteseka kimya kimya Na Farashuu Abdallah.Katika juhudi za kukabiliana na vifo vinavyotokana na changamoto za afya ya akili, jamii…
October 27, 2025, 9:24 pm
Mkuu wa polisi wilaya ya Butiama(OCD) Mrakibu mwandamizi wa jeshi la polisi Daudi Methew Ibrahim akizungumza na Bunda FM kwenye kipindi cha Busati la Habari kinachoruka Jumatatu hadi Ijumaa. Picha na Witness Joseph ’Wananchi wajitokeze kwa wingi kupiga kura wakiwa na ari…
October 16, 2025, 12:37 pm
”Nchi yoyote ili iwe na maendeleo ni lazima kuwepo na amanai na utulivu hivyo kila mtu anawajibu wa kulinda tunu hii ya amani”Mkuu wa polisi wilaya ya Butiama(OCD)rakibu mwandamizi wa polisi Daudi Methew Ibrahim Na Amos Marwa Wananchi mkoa wa…
15 October 2025, 11:54 am
Kurunzi Maalum Katika Kurunzi Maalum ya juma hili, tunamulika tatizo linaloikabili jamii yetu: Athari za kimazingira za utupaji wa taka ngumu hovyo. Je, unafahamu madhara ya rundo la plastiki, chupa, matairi, na vifaa vingine vilivyoharibika vinavyotupwa kando ya barabara, mito,…
10 October 2025, 2:37 pm
Kurunzi Maalum Utupaji hovyo wa taka ngumu kama plastiki, chupa, matairi na vifaa vya elekroniki unazidi kuwa tatizo kubwa kwa mazingira, taka hizo huchukua muda mrefu sana kuoza, mara nyingi taka hizi huzuia mifereji ya maji, kusababisha mafuriko na kutoa…
3 October 2025, 12:21 pm
Wazazi waomba msaada wa kifedha kiasi cha Tsh.Mil 4 na laki tatu kwa ajili ya kufanikisha matibabu ya Mtoto anayetakiwa kufanyiwa upasuaji kutokana na changamoto nadra aliyozaliwa nayo jinsi inayoleta mkanganyiko Na Katalina Liombechi Katika kitongoji cha magoha Kata ya…
29 September 2025, 4:34 pm
Katika mjadala tumechambua changamoto, mitazamo ya kijamii na nafasi halisi, tukitazama namna jamii inavyoweza kuunga mkono usawa wa kijinsia kwenye uongozi. Na Dina Shambe na Edward Lucas Hili ndilo swali tulilojadili katika kipindi cha ijumaa kilichowakutanisha chifu wa sizaki, mchungaji…
19 September 2025, 1:16 pm
Wakala wa Usajili wa Biashara na Mali Zanzibar (BPRA) umeeleza kuwa moja ya malengo yake makubwa ni kujitambulisha kwa wananchi na kutoa elimu kuhusu umuhimu wa kusajili biashara na mali rasmi visiwani. Na Miraji Manzi Kae Akizungumza na Kituo cha…