Nuru FM

kilimo

8 April 2024, 9:01 am

Mapesa awaagiza maafisa kilimo Idodi mashine za kukoboa mpunga

Na Joyce Buganda Maafisa kilimo wa Tarafa ya Idodi iliyopo wilaya ya Iringa wameagizwa kutafuta mashine za kukoboa mpunga na kuzipeleka katika eneo hilo ili kumpunguzia mkulima gharama za usafirishaji wa zao hilo mpaka Iringa mjini. Hayo yamezungumzwa  na Afisa…

24 March 2024, 10:46 am

SAOHILL wapanda miti zaidi ya 2000

Kuhifadhi vyanzo vya maji kunaendana sambamba na zoezi la upandaji wa miti katika maeneo yanayotunguka. Na Mwandishi wetu ZAIDI ya vyanzo 20 vya maji vimehifadhiwa katika shamba la miti la Sao Hill lililopo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ambavyo vimekuwa…

23 March 2024, 10:56 am

Tembo wavamia mashamba Ruaha Mbuyuni

Uwepo wa tembo katika kijiji cha Mtandika umetajwa kuwa kero kwani wamewasababishia hasara ya kuharibu mazao yao. Na Adelphina Kutika. WAKAZI wa Kijiji cha Mtandika kata ya Ruaha Mbuyuni wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa wameiomba serikali kuwaondoa Tembo wanaovamia mashamba…

16 March 2024, 10:50 am

Mil 57 za Regrow zawanufaisha wakulima wa Tungamalenga

Mradi wa REGROW katika Hifadhi ya Taifa Ruaha umevinufaisha vijiji zaidi ya 84 vinavyoizunguka hifadhi hiyo kwa kutoa zaidi shilingi milioni 820. Na Joyce Buganda Wakazi wa kijiji cha Tungamalenga kilichopo katika tarafa ya Idodi wilayani Iringa wameishukuru serikali kwa…

15 March 2024, 9:11 am

Maofisa ugani wafundwa mfumo wa CSDS

Mfumo wa kidigitali wa Crop Stock Dynamic System (CSDS) unalenga kuwatambua na kuwadhibiti wafanyabiashara wanaouza mazao yaliyoharibika na kupoteza sifa ya kupelekwa sokoni. Na Frank Leonard MAOFISA ugani zaidi ya 100 wa mikoa ya Iringa, Ruvuma, Rukwa na Katavi wanapata…

14 March 2024, 11:35 am

Regrow kuwanufaisha wakulima Madibira

Mradi wa umwagiliaji Kata ya Madibira unawawezesha wakulima kulima mpunga kwa uhakika wa kupata mavuno wanayotarajia. Na Joyce Buganda Wakulima wa Mpunga Kata ya Madibira wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wameishukuru Serikali ya Rais wa Awamu ya Sita chini ya…

7 March 2024, 4:30 pm

Yara kuibua tija ya kilimo Iringa

Yara kuja na Mkakati wa kutoa mafunzo kwa wakulima yenye lengo la kuongeza usalishaji. Na Adelphina Kutika Kampuni ya Yara Tanzania imeanzisha kituo Cha Mafunzo ambacho kitakuwa kikihusika na kuibua tija ya wakulima na kuchangia kilimo endelevu kwa Mkoa wa…

29 March 2022, 4:08 pm

Serikali yafuta tozo 42 zao la Kahawa-Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametangaza uamuzi wa Serikali wa kuondoa tozo 42 kati ya 47 ambazo walikuwa wanatozwa wakulima wa kahawa wa Mkoa wa Kagera hadi kufikia tozo 5 tu ambazo itakuwa ni jumla ya Shilingi 267 kwa kila kilo…