Mpanda FM

ziara

20 April 2026, 13:16

RC Kigoma ahimiza weledi mabaraza ya ardhi, nyumba

Wajumbe hawa wa mabaraza ya ardhi na nyumba ni sehemu ya mfumo wa haki unaolenga kutatua migogoro ya ardhi kwa haraka, kwa gharama nafuu, na kwa kuzingatia mazingira ya jamii husika. Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi…

20 February 2026, 4:42 pm

RC Mrindoko: Natangaza wasimame kazi kwanza

“soko hilo linakabiliwa na changamoto ya uchakavu wa miundo mbinu hali ambayo inatishia usalama wa bidhaa  za wafanyabiashara hususani nyakati za usiku.“ Na John Benjamin -Katavi Wafanyabiashara wa soko kubwa halmashauri ya manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamewaombea msamaha  wa…

29 January 2026, 4:23 pm

RC Sendiga acharuka, azikataa takwimu na kutoa maagizo mapya

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga, amepinga takwimu ya asilimia 93 ya upatikanaji wa huduma za dawa mkoani Manyara , akisema si ya kweli kutokana na wingi wa malalamiko ya wananchi, huku akizielekeza halmashauri zote za mkoa huo kuhakikisha zinafikisha elimu…

6 January 2026, 10:59 am

Watatu wa familia moja wafariki kwa moto Musoma

Taarifa iliyotolewa kwa njia ya simu na Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mara, Augustin Magere, chanzo cha moto huo kimebainika kuwa ni sebuleni mwa nyumba hiyo. Na Thomas Masalu, Majanga yameikumba familia moja katika eneo…

31 July 2025, 8:40 pm

Wachimbaji Geita waomba mitaala ya madini VETA

Maendeleo ya teknolojia yameleta mabadiliko makubwa katika sekta ya madini huku serikali ikikumbushwa kuwekeza katika ujuzi kwa vijana. Na Edga Rwenduru: Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu mkoani Geita wameiomba Serikali kutumia Chuo cha VETA Geita kuanzisha mitaala maalum ya…

18 July 2025, 7:20 pm

Wanawake zaidi ya 200 wakimbilia VETA Chato

Wanawake mkoani Geita wameendelea kuchangamkia fursa ya elimu ya ufundi katika vyuo mbalimbali vilivyopo mkoani humo ili kujikwamua kiuchumi. Na Kale Chongela: Zaidi ya wanawake 200 wakazi wa wilaya ya Chato mkoani Geita wanaonufaika na mafunzo ya ufundi stadi  katika…

2 July 2021, 11:19

‌Uhamasishaji mdogo wapelekea watu wenye ulemavu kuto nufaika na mikopo ya ha…

Na; Mariam ‌ ‌Matundu. Imeelezwa kuwa kukosekana kwa taarifa na uhamasishaji kwa watu wenye ulemavu kujiunga katika vikundi ni moja ya sababu inayo pelekea kundi hilo kutopata mikopo kwa wingi inayotolewa na halmashauri.‌ ‌Hayo‌ ‌yamesemwa‌ ‌namwenyekiti‌ ‌wa‌ ‌chama‌ ‌cha‌ ‌watu‌ ‌wenye‌ ‌ulemavu‌ ‌wilaya‌ ‌ya‌ ‌Kondoa‌ ‌bwana‌ ‌Abedi‌ Dutu‌ ‌ambapo‌ ‌amesema‌ ‌uhamasishaji‌ ‌kwa‌ ‌watu‌ ‌wenye‌ ‌ulemavu ‌wanaoishi‌ ‌maeneo‌ ‌ya‌ ‌vijijini‌ ‌kuomba‌ ‌mikopo‌ ‌upo‌ ‌chini‌ ‌hivyo‌ ‌wengi‌ ‌wao‌ ‌hukosa‌ ‌fursa‌…