Mpanda FM

SIASA

15 September 2025, 9:50 pm

ADA-TADEA: Wi-Fi bure, gesi kwa masikini na uzalishaji wa ndani

Na Mary Julius, Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADA-TADEA, ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho Juma Ali Khatibu amesema dhamira ya chama chake ni kuendelea kuiunga mkono serikali iliyopo madarakani kutokana na kazi nzuri inayofanywa katika kuwaletea…

14 September 2025, 11:18 pm

UPDP kutoa mamilioni kwa wanaotaka kuoa Zanzibar

Na Mary Julius. Mgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha the United People’s Democratic Party UPDP, Hamad Mohammed Ibrahim, ameahidi kuwa endapo itapata ridhaa na kuingia madarakani seriakali yake itajenga viwanda vya kusarifu karafuu na mazao mengine ili kuleta…

September 10, 2025, 6:17 am

2641 kuhitimu elimu msingi Ileje 2025

Na Denis sinkonde na Anord Kimbulu Jumla ya watahiniwa 2641 wanatarajia kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi wilayani Ileje Mkoani Songwe utakaofanyika Septemba 10 na 11 mwaka huu. Akizungumza na Ileje Fm juu ya maandalizi ya mitihani hiyo Mkurugenzi…

3 September 2025, 1:49 pm

Simai aahidi kampeni za kistaarabu jimbo la Tunguu

Na Mary Julius. Mgombea wa uwakilishi jimbo la Tunguu, kupitia Chama Cha Mapinduzi Simai Mohammed Said, ameahidi kufanya Kampeni za kistaarabu kama ilivyoagizwa na viongozi wakuu wa chama chake. Simai ameyasema hayo leo mara baada ya kuchukua fomu katika ofisi…

27 August 2025, 4:17 pm

Wafuasi 100 wa ACT Wazalendo watimkia CHAUMA Micheweni

Na Is-haka Mohammed. Wananchi wa jimbo la Micheweni Wilaya ya Micheweni Pemba wameombwa kukiunga mkono chama cha CHAUMA na Wagombea wake ambao kitawasimamisha kupitia nafasi mbali mbali za uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.Ombi hilo limetolewa na Makamo Mwenyekiti…

16 August 2025, 8:48 pm

ZEC yawataka wasimamizi kuzingatia haki, usawa kwa wapiga kura

Na Mary Julius. Kamishina wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC, Awadhi Ali Saidi, amewataka wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wa majimbo kuhakikisha kila mwenye haki ya kupiga kura anatekeleza haki hiyo bila kuwepo vikwazo. Akizungumza wakati akifunga mafunzo ya siku tano…

16 August 2025, 4:39 pm

Kamishna mstaafu ataka Polepole achukuliwe hatua za kinidhamu

Na Mwandishi wetu Kamishina mstaafu wa Tume ya kurejebisha Katiba Tanzania Nassor Khamis Mohamed amesema aliyekuwa Balozi wa Cuba Humphire Polepole anapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu na kufunguliwa mashitaka kwa Manufaa ya Taifa na kulinda misingi ya Muungano wa Tanganyika…