Mpanda FM

MAENDELEO

13/02/2026, 21:07

Soraga afunguka matumizi mfumo wa anuani Zanzibar

Na Berema Nassor. Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia ya Habari na Ubunifu Zanzibar,Mudrik Ramadhan Soraga, amesema uanzishwaji na utekelezaji wa mfumo wa anuani za makaazi ni hatua ya kimkakati inayolenga kurahisisha utambuzi wa makaazi, biashara na taasisi, sambamba na kuboresha upatikanaji…

13 February 2026, 6:38 pm

Watendaji wa shirika la posta Zanzibar wapewa nyenzo

Ikiwa tutaimarisha mfumo wa kutoa vifaa kwa wafanya kazi kila baada ya muda ninjia pekee ya kuimarisha uwajibikaji kwa watendaji” Na Juma Haji. Waziri wa Wizara ya mawasiliano teknolojia, habari na ubunifu Zanzibar  Mudrik Ramadhan Soraga amesema azma ya Serikali…

13 February 2026, 16:18

RAS Kigoma ataka wataalamu wa afya kufanya kazi kwa weledi

Katibu tawala Mkoa wa Kigoma Hassan Rugwa amewataka wataalamu wa afya Mkoani Kigoma kufanya kazi kwa weledi katika utekelezaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali Na Sadick Kibwana Zaidi ya wajawazito 3,000 wanatarajia kunufaika na kitita jumuishi cha afya ya…

06/02/2026, 17:57

Walimu Keifo walishwa keki na wahitimu

Katika tukio lisilo la kawaida wahitimu wa kujitegemea katika Shule ya Sekondari Keifo wameamua kununua keki na soda na kuwapelekea walimu kwa ajili ya kuwapongeza baada ya kuwawezesha kupata ufaulu mzuri katika masomo yao. Na Emmanuel Jotham Wahitimu wa kujitegema…

3 February 2026, 14:25

Wito watolewa kuchangia damu kwa wahitaji Kasulu

Wito umetolewa kwa wadau mbalimbali kuendelea kujitokeza kuchagngia damu ili kuweza kuokoa maisha ya wahitaji. Na Emmanuel Kamangu Jamii na taasisi mbali mbali za dini Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma zimetakiwa kujenga utaratibu wa kujitolea kuchangia damu ili kusaidia hospital wilayani…

26/01/2026, 17:42

Matukio ya watu kufa mto Buluhe Mbogwe sasa basi

Kutokana na mvua za El nino zilizonyesha siku za nyuma serikali imetumia zaidi ya shilingi bilioni 500 kukabiliana na athari za uharibifu huo katika maeneo mbalimbali nchini. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa Kata ya Iponya wilayani Mbogwe mkoani Geita wameishukuru…

25/01/2026, 14:06

SMZ yatambua mchango wa wasaidizi wa sheria Zanzibar

Na Mary Julius. Mrajisi wa Asasi za Kiraia Zanzibar, Ahmed Khalid Abdulla, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inathamini kwa kiwango kikubwa juhudi zinazofanywa na jumuiya za wasaidizi wa sheria, akibainisha kuwa zimekuwa na mchango muhimu katika kuwasaidia wananchi, hususan…