Mpanda FM

MAENDELEO

17 March 2026, 11:08

Majiko banifu zaidi ya 400 yatolewa kwa wananchi Kasulu

Majiko banifu yamekuwa suluhisho muhimu katika kukabiliana na changamoto za kimazingira na kijamii katika nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania na kwa muda mrefu jamii nyingi zimekuwa zikitegemea kuni na mkaa kama vyanzo vikuu vya nishati ya kupikia hali ambayo imesababisha…

16 March 2026, 7:13 am

DC Simalenga ahimiza wajawazito kuhudhuria kliniki

“Twendeni kliniki mara kwa mara kwenye vituo vyetu vya afya wakinamama wajawazito ili kujuwa hali zenu za mimba na namna ya kuwasaidia wakati wa kujifungua ili kupunguza changamoto zinazoweza kutokea wakati wa kujifungua.” Na Daniel Manyanga  Mkuu wa Wilaya ya…

12/03/2026, 19:41

Waziri wa Fedha Zanzibar na NCBA katika ukuzaji uchumi

Na Mary Julius. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Juma Malik Akil ameipongeza NCBA Bank kwa mchango wake mkubwa katika kukuza sekta ya fedha na kuchochea maendeleo ya uchumi wa visiwa vya Zanzibar. Akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na…

12 March 2026, 12:14 pm

Wafanyabiashara Mafinga walalamikia milango kufungwa

“Kitendo cha kuwekwa kwa makufuli katika milango ya biashara zetu hatukubaliani nacho” Na Fredrick siwale Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mafinga katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wamelalamikia hatua ya baadhi ya maafisa wa halmashauri hiyo kufunga milango…

6 March 2026, 8:50 am

Bei ya bidhaa yapaa Kwaresma na Ramadhan

Na Elika Matonya na Telesia Chalamila Wafanyabiashara wa soko kuu Mkoani Iringa wameeleza hali halisi ya biashara na aina ya bidhaa zinazouzika katika msimu huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhan pamoja na kwaresma. Wakizungumza na Nuru FM Baadhi ya Wafanyabiashara…

4 March 2026, 5:32 pm

Sumry awang’ata sikio vijana Mpanda

“Ameahidi kuendelea kushirikiana kwa pamoja katika katika kuhakikisha chama kinaimarika.“ Na Samwel Mbugi-Katavi Mbunge wa Jimbo la Mpanda mjini Haidary Hemed Sumry amekutana na baraza la umoja wa vijana CCM wilaya ya Mpanda kuwashukuru kutokana na namna wanavyoshiriki kuhakikisha chama…

25/02/2026, 16:05

Usafiri baharini washuka, safari za anga zapaa Zanzibar

Na Berema Suleiman. Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar imesema jumla ya mienendo ya vyombo vya baharini kwa mwezi wa Januari 2026 imefikia 1,211, ikiwa ni upungufu wa asilimia 35.6 ikilinganishwa na mienendo 1,879 iliyorekodiwa mwezi Januari 2025. Akiwasilisha…

20 February 2026, 6:16 pm

Skimu ya umwagiliaji Mwamkulu, kicheko kwa wakulima

“walikuwa wakikumbana na changamoto katika shughuli za kilimo, ikiwemo ukosefu wa maji ya uhakika kwa ajili ya umwagiliaji” Na Ben Gadau – Katavi Baadhi ya wananchi wa Kata ya Mwamkulu wameishukuru Serikali kwa kuwapelekea mradi wa skimu ya umwagiliaji, wakisema…

20 February 2026, 5:44 pm

Miradi ya ujenzi, michezo yamvuta diwani

“ameomba kuharakishwa kukamilika kwa ujenzi wa madarasa hayo ili kurahisisha upatikanaji wa elimu kwa wanafunzi wa eneo hilo.“ Na Ben Gadau- Katavi Diwani wa Kata ya Ibindi Mdakuni Matongo ametembelea na kukagua  ujenzi wa madarasa katika shule ya msingi muungano…